@faridabeautyacademy: #onthisday BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA TUPO DAR TEGETA NYUKI ☎️ 0657292650 Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi minne NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO ni (158,000) utapatiwa Makeup set kwa ajili ya mazoezi,Tishet Mbili, Taulo , seti ya vitana ,Passport, Kitambulisho cha mwanachuo NOTE:Mwanafunzi unapaswa kuwa na rasta angalau bunda moja kwa siku kwa ajili ya mazoezi 📌TUNA MADARASA YA JIONI KWA WAAJIRIWA TUNA MADARASA YA YOUTUBE BURE JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUJIUNGA👇👇
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 08:03:09 GMT
Music
Download
Comments
MTURUKI from singapal :
dada naomba uije ninifunze my nimechoka kuwa tegemezi love
2026-10-11 19:05:01
0
Pliska Simon :
upo wp
2026-10-11 11:01:30
0
user9384204284633 :
mwalimu tuonyeshe ukianza
2026-10-12 07:25:52
0
Edina Zawadi :
natamn san kuja kujifunza kwenye shule yako ipo sik ntakuja dad ang dot yangu kujuwa kusuka
2026-10-11 08:35:47
0
💃💃 Sophy 💃💃 :
minataka kujifuza on line
2026-10-11 19:01:11
0
💃💃 Sophy 💃💃 :
fungua branch zazibar
2026-10-11 19:01:55
0
salhamalya :
ujatuonesha upivyoanza kukat
2026-10-11 10:23:29
0
grâce :
🥰🥰🥰
2026-10-11 14:24:02
0
Judithilunga :
🥰🥰🥰
2026-10-11 19:38:49
0
Jemima adieri :
🥰🥰🥰🥰
2026-10-12 08:54:05
0
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm
homepage.