@realtaimos: Sio kila Mfanyabiashara anaela ya kutengeneza Tangazo zuri na asilimia kubwa wanajua kutengeneza video za AI lakini, wengi hawawezi kutengeneza katika ubora wanaouhitaji.. Sasa sisi kama TAGET hatutengenezi tu video bora tunatumia script ambayo wewe mwenyew utaipitia na kuiridhia kwa sababu sisi script yetu inatumia formula ya Problem, struggle, shift, Product then CTA . So kwa matangazo bora ya AI Tuma neno TANGAZO au tutext Whatsapp +255 741 698 068 . Na tuliona tusiweke Gharama kubwa sana ili kila mtu apate kwahyo tunatengeneza Tangazo lako kwa shilingi 49,000 tu.