niko naangalia marudio naona yanga anarudia makosa yaleyale ya jana
2026-10-11 13:21:32
173
pina-@ :
toa Lamine Yamal weka Michael Olise 😅😅😅
2026-10-13 14:30:34
2
Alex 6 jr :
toa Erick Garcia weka Shloterbeck
2026-10-13 20:46:39
0
sakoma-kidd :
Doumbia kama ferlan☺️☺️☺️☺️
2026-10-14 08:51:24
0
King Maelfu :
anaebisha alete timu[Big LOL]
2026-10-12 14:32:51
0
🏹NUNEZ_JOVIN💥🔫👊 :
cancelo awe huyo na yao yao nan????[Innocent]
2026-10-11 11:00:18
14
v money 💵 :
doumbia ni nan
2026-10-11 15:17:17
5
hayase hb :
kagoma ni gavi Pablo sio Rodri na aura ni adeyem sio Antony Gordon
2026-10-11 11:21:55
30
@Brayoo255 :
Shida kwenye ligi hamjapata ushindi mda mrefu mbele ya yanga kwaiyo lazima mjiite majina ya timu kubwa zote duniani
2026-10-12 08:27:10
25
boss tiger :
salooooooote
2026-10-13 10:47:13
0
ZR🐐 :
sas cancelo na balde Si wanacheza namba. moja😂jamani
2026-10-12 11:10:00
6
zaharan sadan :
mnazingua sas kila mtu anasukuma ngoma upande wake mjue mm Madrid sitak kikos kizima kiwe Barca nasema iv Libase ni Yamal Mpanzu ni Mbappe Oura ni Raphinha Chama ni Declan Rice Keletso Makgalwa ni Bruno Fernandes Kasal ni Raya Rushine ni Gabriel Magarahales Toure ni Saliba Neo Maema ni Jude Bellingham Kagoma ni Caicedo Mligo ni Marc Cucurela na Szobozlai ni Nathanael Chilambo kosi lang ilo izo tim zaid ya tano apo zimekaa coach Stive Berker ni Pep Guardiola mtupu
2026-10-11 12:32:01
9
Yohan_cruyff_10 :
umemxahau hansi flick kk😄😄🦁🦁🦁🦁
2026-10-11 10:37:53
11
@_27 RYDER🧸 :
kaka apo umetisha sana acha watuoonee wivu tu lakini huo ndo ukweli au sio wanasimbaaaa❤️
2026-10-13 17:59:54
2
shamimu edisoni muheza :
umetisha lamine
2026-10-11 11:06:32
5
Dullykhan🤟🤟 :
nyie amn akili Simba ni kama real Madrid kumfung Barcelona kama yanga ni mara moja2
2026-10-11 11:53:42
5
iron lion :
simba kama Barcelona
2026-10-11 10:23:06
6
mahrez Jr@ :
aaaaah apoo mnazingua asaaa simba sisi sio barca aseee
2026-10-11 16:52:42
1
$uk! $€ll@☠️🇰🇪 :
iyo haipingwi
2026-10-11 14:14:27
1
Ruge magari :
Ma twin wezetu au vip 😂😂
2026-10-12 11:19:25
4
money say :
usisahau na smart assist ya efootball
2026-10-11 13:40:15
2
BMB 💪 :
usem ukwel bacolon namukubal Dan olmo san
2026-10-11 17:26:25
2
chasambi :
uzuli nikwamba kilamtu atakutananao
2026-10-13 22:27:51
2
LASTER WABONGO🇯🇲🇯🇲 :
😂😂😂watajamba sanaaa
2026-10-11 10:44:01
1
NIFAKAM🤟🤟🤔........!!! :
amna wakubisha
2026-10-11 11:45:30
2
To see more videos from user @its_sele33, please go to the Tikwm
homepage.