@ali_wisdom: Mtu mmoja aliniuliza, “Moyo wako unatamani nini kwa sasa?” Nikatabasamu kwa uchungu kidogo na kumjibu: “Natamani maisha yenye utulivu, upendo ambao sitahitaji kuutilia shaka, na amani ambayo sitalazimika kuipigania. Natamani kuwa mahali ambapo moyo wangu utahisi salama, bila hofu ya kuumizwa, kupotezwa au kuachwa.” 🖤 #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou
swali lingekua upande wangu ningeishia kulia tuuu😔😔 daah 🙌
2026-10-11 09:31:58
2
Many laaa :
Na hakuna mapenzi bila maunivu au heka heka, sorry Ila Amani nikuijipa tu mwenyewe
2026-10-11 11:12:30
1
Merinacosmetics💄 :
Huyu ni mimi kbsa wallah😭😭😭😭 nataman nipate mtu mmoja tupendane sana,asiniumize sitomuumiza mana nimeumizwa vya kutoshaaaa eee Mungu wangu naomba unipe mtu sahihi wa kunipenda😭😭😭😭
2026-10-11 12:03:19
0
Princess mariah48 :
Hayo maisha na hapo mahali ni mbinguni lkn tungali duniani twapaswa kujichagulia mahali penye nafuu na kukomaa napo kwa imani.
2026-10-11 11:35:06
0
shemmaster fashion🇹🇿🇴🇲 :
Hayo yote yanawezekana pale tuu ukiwa karibu na Allah sw.
2026-10-11 11:30:13
0
umu khadija :
🥰🥰
2026-10-11 10:01:03
0
Fredy Dachi :
[Like]
2026-10-11 10:47:40
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.