@amrisaly: Nimeishi, nimekutana, nimeongea na watu ambao ni very successful, Nimefanya kazi na biashara na watu ambao ni very successfully, Pia nimeishi na watu ambao ni maskini na hata mimi umasikini nimeuishi, Na kitu kimoja ambacho natamani kila kijana ajue ni kwamba; 1. Sio kwamba watu waliofanikiwa wana akili sana, wapo smart sana au ni watu exceptional❌, Wanaofanikiwa ni ni watu ambao ambao wapo faster kwenye kufanya maamuzi, kusimamia maamuzi yao, ku-take calculated risk, kujifunza kutokana na makosa, wanafanya kazi kwa bidii, wanafeli sana kuliko watu masikini sababu wanafanya sana vitu na hakuna kitu watu masikini wanaogopa kama ku fail, 2. Na kitu kikubwa zaidi ni wana-THINK BIGGER✅, Na ku-think bigger sio mara zote kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria, Ni kuwa na mindset ya - matter what, no matter nitakuwa kwenye changamoto kubwa kiasi gani, no matter nitakuwa na ufinyu wa resources kiasi gani lakini lazima kuna njia ya kufanya ili kufika malengo, Huku watu masikini wanafikiria zaidi kitu kinachowazuia
Amrisaly
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 09:48:13 GMT
Music
Download
Comments
Michael James :
extremely right
2026-10-11 10:06:10
0
Abundant Kid :
hivi ndo huyu mwanzoni alikuwa mwanafunzi wako anakuita bro Amri 😂au naona vby
2026-10-11 11:30:11
7
Inuka Forex :
ayo n ya mda mchache tu ndoa niya motoo
2026-10-11 10:56:31
1
Reggie_. :
very true
2026-10-11 10:38:57
0
INVISIBLE KING 👑 :
good 👍🔥
2026-10-11 14:38:46
0
Jovitha haule :
true
2026-10-11 12:45:54
0
mo benja :
nakubali nakubali
positive thinker
2026-10-11 13:32:25
0
Dorry🦋 :
my family 💕 mungu azidi kuwapa furah
2026-10-11 12:50:07
0
ally boy :
nachukia sananimiona watu wanapendana ovyo
2026-10-11 11:46:49
0
Issa :
uhakika
2026-10-11 11:01:57
0
Magra desgner 🪡👗 :
kweli kabisa
2026-10-11 12:27:59
0
SteveMirror :
Kama AI vile 😀😀
2026-10-11 13:17:00
1
Hustler 💪 :
😳😳😳
2026-10-11 09:57:21
0
Mzurikwao :
💯💯💯
2026-10-11 09:58:25
0
To see more videos from user @amrisaly, please go to the Tikwm
homepage.