sina mpango w kununuwa iphone ndoto yngu nimiliki xiaomi 17T pro ,vivo,poco
2026-10-11 11:05:35
11
michaelgeorge4530 :
unafahamu kwamb iPhone ni simu Bora kweny gaming kuliko simu za android
2026-10-11 12:35:46
33
David Walker :
iphone ni upuuzi mtupu bro
2026-10-12 18:44:14
0
savage :
na umerecord kwa iphone 😅😅
2026-10-11 13:00:47
6
Common Boe :
Let's go 🔥
2026-10-11 10:30:46
6
Kassidi Zanzibar :
Nina vivo ×300 mnafanya top up?
2026-10-11 12:12:53
5
MR CHINA MOBILE PHONE :
xiaomi,oppo,vivo kwenye proccessor ni moto
2026-10-11 15:22:12
3
Jax boe :
Kwan hyooo cmu gan kka mbna nomaaa sanaa broo hashem
2026-10-13 19:45:10
1
Nancy_Chris :
Shingap hiyo
2026-10-11 10:01:58
1
Erictenhag01 :
simu Gani hiyo
2026-10-11 10:01:56
3
J%seph Felician :
labda Samsung A05....chip ya snapdragon 888 generation ya 1 hadi 6 ni ya samsung..hii xiaomi 17 na 18.inapigwa chini na ka samsung s215G..kingine chip ya Exynos ni kali na ina speed hadi snapdragon inaa kaaa..tatizo la snapdragon.inarazimisha ufanisi wenye nguvu kuchakata mambo mengi kwa wakati mmoja.matokeo yake inachemsha cm kama jiko🤣.hz nazijua .nimeziuza na kuzifuatilia .tangu miaka 17 had sasa..kila cm naifuatilia na mimi ni mlevi wa cm .ingekuwa cm ninazo tumia nilowauzia wananirudishia ningekuwa na duka la jumla .la used.maana kwa mwaka nabadilisha cm mara 3 hadi 4.na zote flagship au midium range.🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 10:50:11
0
brown.dzo🎩 :
Niacheni na iphone yangu
2026-10-11 10:32:06
3
Y么TIF🥶 :
mine 🗿
2026-10-11 10:26:58
0
danyaInThisWRLD🌍 :
Kaka ukipat muda ucheze na assasin creed black flag 4
2026-10-11 10:35:02
2
Mr kea Interior design :
bei gani hii boss
2026-10-13 12:28:54
0
Drey Alpagut :
Labda iPhone 7 Plus 😀😀😀
2026-10-13 06:17:59
0
elbahsaany :
lets go familia😁😁
2026-10-11 17:04:43
0
shibeel mbuzzy :
hio ni simu gan kaka
2026-10-11 20:17:18
0
TechDealer :
2026-10-11 18:22:35
0
jimmy_masta :
Unarekodia iphone
2026-10-14 08:12:40
0
PRINCE KHAN :
inamamb meng iphone
2026-10-11 22:09:48
0
painxtsuki :
Mnaosema iphone jau mnaongelea iphone gani?
2026-10-12 09:12:47
0
A_S_I_A👸 :
hii nayo n nomaaaaaaaaaaaaa
2026-10-12 05:08:07
0
kevy :
Haha kwenye iphone hatunaupuuzi wa kucheza sijui gtav sijui fifa kwa harakat zako android inakufaa kaka😂
2026-10-12 19:26:01
0
To see more videos from user @iam_hasheem, please go to the Tikwm
homepage.