@masterjimmy_tz: Mwanamitindo Jasinta Makwabe amewakosoa wanaume wanaowatishia wanawake kwa kauli kwamba hawataolewa, akisema baadhi yao wamekuwa wakiwashambulia wanawake, hasa wale maarufu mitandaoni, kwa madai kuwa hawatapata waume. Jasinta amesema badala ya wanaume kutumia ndoa kama kipimo cha thamani ya mwanamke, ni muhimu kujikita katika kutafuta kipato na kuwajibika katika mahusiano. Aidha, amepinga madai kwamba wanawake wanapenda pesa pekee, akieleza kuwa wanapenda vitu ambavyo vinahitaji pesa ili kuvipata. Katika kuhoji mtazamo huo, Jasinta ameuliza “Ni mwanamke gani aliyewahi kufa kwa sababu ya kutokuolewa?” Wewe una mtazamo gani kuhusu kauli hii?
Jimson Natson
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 10:17:23 GMT
Music
Download
Comments
MWAISA HOUSE OF JEANS :
Hivi Nani kawaaminisha watu ndoa ni achievement
2026-10-11 17:41:50
150
Ramona Kim :
umenipa nguv nitoke sasa kwenye haya mahusiano sugu ya miaka 6😁😁😁
2026-10-11 17:18:20
73
🦋Mirah 💕 :
Acha niolewe😂😂😂mnatutibua mnataka tuwe lesbian😁
2026-10-12 05:51:13
37
newMe :
nikikumbuka kuna kupigwa risasi nachoka
2026-10-11 13:15:22
47
Captain.ilocs (Mr Adabugah) :
siyo kila mwanamke ni wa kuolewa, ndoa inahitaji watu wawili wenye utimamu wa akili, ukiwa siyo timamu usioe wala kuolewa, ndoa ni taasisi ya watu wanaojitambua, wanaotambua neno la Mungu na miongozo yake, watu walioko committed. so ukiona huna huo utimamu na ukaamua kuingia tu ama ukawa timamu na ukakutana na mtu siyo hamnazo lazima yakukute.
2026-10-12 09:25:31
14
lizZy :
sahz naona ndoa ni upumbavu mtupu
2026-10-11 20:39:53
32
ramxeybreezy :
Sikuizi washauri wengi wa ndoa hawana ndoa 😁
2026-10-12 06:18:24
19
Ndali.Og :
Nitoke kwenye mahusiano sugu aya ya miaka 4 sasa aseee
2026-10-11 17:29:30
24
ollie💞 :
me ndio kwanz 22 hata mchumba wa bahati mbaya sina😂😂😂
2026-10-12 04:27:08
15
It's me warda♐️ :
ukiingia kwenye ndoa ndo utajua kwamba ndoa sio issue
2026-10-12 06:25:13
16
elias :
mama pole kuolewa ni jambo la muhimu sana na pesa ni jambo lenyekuleta furaha kwenye ndoa
2026-10-12 03:59:36
5
Magreth Paulo :
ndio maan sijaolewa na siwazi aiseee
2026-10-12 05:39:58
5
classic_wear_plug :
Tuishi humu asee
2026-10-11 12:14:58
15
Happy Mwanga :
good points
2026-10-11 11:56:22
5
beuty gradness@ :
yani miwananiudhi hawa wanaohisi ndoa ndomaisha yake
2026-10-11 20:46:24
6
@NeemaAthanazi :
siyo lazima kuoa au kuolewa
2026-10-11 13:05:35
11
Adam :
Nyie wasikilizeni tu msisahau huku ni mtandaoni😂😂
2026-10-12 17:29:17
0
J2J :
Umeongea vizuri sana sis! Ila Hiyo desperation unayoiongelea, hata wanaume hawapo huko any more!
2026-10-12 14:33:08
0
yasmin 🥰🥰 :
Tutafuteni pesa tu at this point
2026-10-11 23:32:08
4
nassir06 :
IZI STRESS SASA 😆
2026-10-12 09:14:31
3
Da Amy 🍎🍒♥️ :
lkn kuna watu wamekufa sababu ya ndoa
2026-10-12 17:39:27
1
𝖈𝖍𝖎𝖜𝖆𝖒𝖇𝖆𝖋𝖔𝖗𝖊𝖝_☬༒ :
🤣🤣🤣 hizo priority hua zinaisha as time goes by
2026-10-12 07:24:19
3
Hodlex🐐 :
Ukiwa unaumwa ndio utajua familia ni muhimu sio ndugu au wazazi watakuuguza.
2026-10-12 10:50:53
0
sarah :
mwenyewe nina 50 na sijafa mpaka leo na maisha yanaenda kama yalivyopangwa.
2026-10-12 09:47:43
4
JUDITH WIG STYLIST -TZ :
na save hii video nikirudi home nawawekea kwenye flash naweka sauti kubwa Hadi Mwisho alafu natoweka . Kila siku olewa olewa Eeeeeeeeeee nimechoka guys.
2026-10-12 20:49:14
1
To see more videos from user @masterjimmy_tz, please go to the Tikwm
homepage.