Hii injury iko right foot but contacts btn ilikuwa left foot
2026-10-11 17:25:55
0
wizzysix :
ndo football hiy kk
2026-10-11 12:16:38
0
John Chele :
mpira mchezo wa kugusana kama hutaki peleka timu yako ikacheze draft
2026-10-11 15:48:50
17
Detr@yer gamer :
mbona hamzungumziii lile goli la offside
2026-10-11 15:21:04
16
Fahad :
ndo football hiyo
2026-10-11 17:08:39
0
Davoo ze Greta :
MPIRA SIYO TAARABU [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 17:19:42
0
cypher master kag :
50 50, halafu angalia mpira vizur uyo alikua na majeraha yake, amegongwa mguu wa kushoto ameumia wa kulia
2026-10-11 11:25:58
22
@SCOTTB. user888146586107 :
ayaaa tumekuelewa kaa pembeni [Shades on]
2026-10-11 12:27:03
3
💥الله أكبر.💯 :
clear red card
2026-10-11 16:20:21
0
Steve jr :
Guy ile ni darby usifikri ilikua inacheza kagera na pamba pale ukisema libasse apewe red card na kangwanda apewe nini maan alimvuta chama alafu alikua na yellow tayal
2026-10-11 12:56:04
16
SIRKIWIKU25 :
acha siasa na kuchamfua mchezaji hii ni football errors hutokea
2026-10-11 11:43:54
6
bensony mahuba :
Yan tukio la red kadi kaka hilo
2026-10-11 12:45:44
3
J6ix :
Sasa mkisem matokeo yalipa gwa je mnaye mchezaj mmoja tuu?? ama mbona Kam xiwaelew ndugu zangu???
2026-10-11 13:30:34
5
Shaban | 6K Studios :
Mpira una sheria zake 17 za IFAB na siyo hisia. Maamuzi ya waamuzi uwanjani yanazingatia intent (dhamira), force (ukali wa rafu), na point of contact. Simba ilishinda kwa mbinu bora, nidhamu ya kiufundi na kutumia nafasi uwanjani. Kutupa lawama kwa mwamuzi kila matokeo yakigoma ni kukimbia ukweli wa kiufundi. Mchezo ulimalizika uwanjani! ⚽
2026-10-11 12:00:27
2
ve💕e :
Huy libase kakomaa sana bhn yaan eachezaji wetu wote wanawaumiza
2026-10-11 12:50:14
1
kessy :
Endelea kushabikia mpira ila hujui ulichoongea mpira sio poooltable hapo wamegongana libase hakunyanyua mguu kwajili ya kumuumiza ila ilikuwa harakat za kugombea mpira
2026-10-11 14:09:50
1
Jackson Mwampamba :
Ikumbukwe Job injury yake ilitokana na mchezaji wa Simba Loemba naye hakupewa hata kadi
2026-10-11 17:28:58
0
user3165862083145 :
😂😂😂 yaani libase awe na chuki na Abuja kwa kipi?ukiacha hisia utaona abs libase alifata mpira mbona kagwanda hamsemi
2026-10-11 15:33:49
0
Yosef puga :
kashitaki fifa wanaweza wakakuelewa🤣🤣
2026-10-11 13:06:25
0
Hamadi Mbumba :
duke ampish mtu na yeye akupishwa yan tugongane inaitwa ivyo iyo ila polen watu wa ball ndio game
2026-10-11 11:58:09
1
Shanellefido :
wakati simba anafanya mazoezi nyie mpo busy na harmonize 🤣🤣🤣
2026-10-11 14:36:55
4
Nana💘love077 :
nikweli kabisa kaniuzi sana kumuumiza abuya nilijua Tu tutafungwa maana mudasir atakuwa na mzengeri matokea lkn yamebahatisha jana
Matokeo ulipanga wewe, na ukizungumzia kuusu kupangwa kwa matokeo maana yake ni kutoa rushwa kwa timu pinzani. So kwa point yako una maana kua yanga waliookea rushwa kutoka kwa simba ???
2026-10-11 11:57:51
1
To see more videos from user @mwiny12dax, please go to the Tikwm
homepage.