@surveyor_mligo_simon: Kama Unamiliki kihalali kipande cha Ardhi, kilichopo mkoa wa Dar Es Salaam, kilichopangwa na kupimwa, ukiwa na Uthibitisho wa umiliki, kukiwa hakuna Mgogoro wowote, basi fika kwenye ofisi za ardhi mkoa kwenye zoezi la kliniki ya ardhi maalumu kwaajli ya utolewaji wa hatimiliki linaloendelea kutoka tarehe 22September, ukiwa na NYARAKA hizi na upate hatimiliki ya ardhi yako kwa haraka, zoezi hili ni jitihada za serikali na wizara ya ardhi chini ya Mh. Waziri na Mh. Naibu waziri kuhakikisha Wananchi wanapata hatimiliki ndani ya saa 48 tu. Wito kwa wananchi kutumia Fursa hii kupata umiliki wa ardhi zao unaolindwa kisheria ili kuepuka migogoro ya ardhi. Kumbuka Kliniki hii ya Ardhi iliongezwa muda wa siku 14 kwa mkoa wa Dar Es Salaam kutoka ile ya nchi zima iliyoisha October 3. Na inatarajia kuhitimishwa jumamosi hii October 17. Huduma za utoaji wa Hatimiliki bado linaendelea nchi zima kwa utaratibu wa kawaida, lakini kukiwa na maboresho makubwa ya mapinduzi ya kutumia mfumo wa E_ardhi unaorahisisha utoaji wa Hatimiliki kwa haraka. This is from SMS #klinikiyaardhi #nyarakazahatimiliki #mtaalamuwaardhi #klinikiyaardhi #daressalaam

Mtaalamu wa Ardhi (SMS)
Mtaalamu wa Ardhi (SMS)
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 11:05:42 GMT
6401
119
20
22

Music

Download

Comments

amanikatala
amanikatala :
Ninamiaka sita nimefanya kila kitu na nimelipa,sijawahi kuipata hiyo hati....
2026-10-11 13:03:46
1
aishafranco773
aisha yanga 💚💚🇹🇿🇹🇿 :
kama huna nida una passport inakuaje?
2026-10-11 14:43:03
0
user3529678376908
anna :
km kiwanja changu hakijapimwa yaan hakina Namba inakuwaje,?
2026-10-11 19:53:05
0
msako2904jr2
nemanja2904 :
hili zoez lnafanyika wp
2026-10-11 17:32:38
0
sarahmimi117
mimi 🦋 :
Je kama sina mkataba wa mauziano ninayo tuh ile mkataba ta serikali za mtaa na kiwanja hakija pimwa kwaiyo sina namba ya kiwanja
2026-10-11 11:23:51
0
misosi_
misosi :
toa 700k upate hati dah!!
2026-10-11 17:47:51
0
To see more videos from user @surveyor_mligo_simon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About