@ibrahim.pasha793: hili ni goli walilolipata yanga jana dhidi ya wapinzani wao simba,lkn vuta picha hawakukata tamaa kazi ikapigwa sana na hatimae mwisho wa yote na sisi tukafurah

Ibrahim Pasha
Ibrahim Pasha
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 11:28:33 GMT
36774
1003
57
146

Music

Download

Comments

hassan.mohamedy31
Hasanoo MD :
Ngoja tuwaweke wazi watz wengi hawajui mpira wanaangalia tu, iyo movement ya apo uyo alikuwa ofside sahihi kabisa ila baada ya maksi kuupiga mpira kwa kipa ofside ikawa imekufa ndo akampa shalulile na kuandika bao la kuongoza kwa maana kama apo asingeupiga kwa kipa angempa moja kwa moja shalulile ndo ingekuwa ofside ila baada ya kwenda na mpaka kwa kipa ulivyorudi ofside ikawa imekufa,,, sijui mnaelewaaaaa !!!!
2026-10-11 19:25:47
9
domiandaudi
Domian Daudi :
kweli kazidi uyoo
2026-10-11 18:11:24
2
rashidmohamedi25
chidy boy :
baada ya kupokea kichapo ndy mnataka kusem of side hakuna
2026-10-12 12:27:46
2
j2_berbarshop
Abdul♤♤♤$$$☆☆☆ :
sio offside
2026-10-11 12:27:42
0
kiphesile
kiphesile :
ukwelli ilo lilikuwa sio goli
2026-10-11 18:50:38
1
msangamasanja
musanga henge :
hyo namba9 yanga alikumo au?
2026-10-11 16:47:49
1
davidiganja10
iganja brand 💯💯 :
acha ushabiki tulishinda ila goal lao lilikuwa sahihi hakuna offside
2026-10-12 10:58:44
1
user9191907811775
mapambano :
iyo ilikua ofside ya waz kabisa
2026-10-11 21:37:53
0
hamidu.kabago
Hamidu kabago :
acha wabebee
2026-10-11 17:48:07
1
maxx007mathews
🌵🪺M.A.X.X🪺🌵 :
ila AI 😅🔥
2026-10-11 18:55:04
1
yusuph6935
yusuph :
huyo namb 8 ni nan,number tisa ni nan acha kuedt vit kak
2026-10-11 17:18:42
0
itc.troz
itc troz :
angalia mpira alipewa nan bro
2026-10-11 19:19:35
2
revocatus.william7
Revocatus William :
na pia Kuna yanga ipi hapo au umeiditi tuu max anavaa namba 9 au huyo namba nane ametoka wapi nawakati kipindi goli linafungwa Fred Ngoma alikuwa Bado kuingia
2026-10-12 20:28:30
0
mo.emanuel
official ras :
na huo uwanja cjui ni wa wapi
2026-10-12 20:39:57
0
emma876846
emanwlraphael :
hapo shalulile alikuwa kazid
2026-10-12 13:56:31
0
kulwa.jp
jay kulwa tiktok :
timu gan hiyo
2026-10-12 11:15:37
0
rojah974
🄱🅄🄽🄶🄰 🄹🅁💪💪💪 :
kwaiy apo unaona kuna yanga.au hebu achen kuzua mamb mbn libase amecheza faulo mbaya ya red.card.na hatusemi
2026-10-12 14:08:27
0
bo.pa.ma.b0ny
BO PA MA B0NY :
yanga alipata goli ture yupo nje ila hapa yupo ndani jaman
2026-10-12 10:38:47
0
samweryyusufu
strong boy :
ataivyo walishaga zoea
2026-10-11 21:29:13
0
steven.samwel1
Steven Samwelsteven327 :
mungu ameona
2026-10-11 20:30:25
0
makazu23
MTUKULA@ :
2026-10-12 16:27:55
0
nalyelye
NALYELYE :
namuona toure hapo ndani
2026-10-11 22:04:58
0
yusuph5343
@mweusi tz🇹🇿 :
kweli kaka
2026-10-12 21:06:02
0
user976941933
michezoo tu 🥕🥕🥕🐇🐇🐇 :
aahhaah max namba 9😅😅😅
2026-10-12 13:12:19
0
sterboy327
sterboy💚327 :
ww sis no 9 haikucheza jana mnashida gan
2026-10-11 17:20:32
0
To see more videos from user @ibrahim.pasha793, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About