@ignitegenz: Kijana, nani amekuambia mambo ya Mungu ni ya watu wazima tu? 😭🔥 Unaweza kuwa kijana, ukawa na ndoto kubwa, ukafurahia maisha na bado ukamuweka Yesu mbele. Mungu hakukuita umsubiri mpaka uzeeke ndipo umtumikie. Anataka maisha yako sasa hivi! Tuwe kizazi kinachomjua Yesu tangu ujana wetu. ❤️✝️ #IgniteGENZ #creatorsearchinsights #viraltiktok #tiktoktanzania🇹🇿

IGNITE GENz | Christian Youth
IGNITE GENz | Christian Youth
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 11:31:19 GMT
29142
2246
59
280

Music

Download

Comments

giftykambona
Gifty kambona :
niseme ukwel huyu jamaa namtafuta
2026-10-11 18:08:43
13
hadija.shaban91
🦋 Debbie 🦋 :
kwa yesu Raha nyie asikwambie mtu 🥰
2026-10-11 19:04:30
8
simbaya19
EvanceJr Simba :
Nice rumba
2026-10-11 19:35:08
0
philipo.joseph635
Mazengo JR 💀 :
fundi umeme tunamsubili yeye yupo kwa Yesu 😂😂
2026-10-11 19:06:15
3
christopherjoyce23
Furaha :
Anacheza vizuri hadi raha
2026-10-11 15:57:51
3
ozildavid348
Ozil_creator :
DAWASA Mtu wenu yupo huku
2026-10-11 18:04:53
2
teddystitch1
teddy stitch🧵🪡 :
kwa yesu Kuna raha jaman
2026-10-11 19:23:56
2
tonnybruezy
tonnybruezy :
fundi nakupigia Bomba limepasuka kumbe upo ibadani🤣🤣
2026-10-11 18:31:23
4
evid172
evid@-17 :
umu tuu
2026-10-11 18:03:28
2
user4022316357687
RKD :
kwa yesu laha
2026-10-11 18:06:25
1
jumadunga
jumadunga :
Dawasa wanamtafuta mtu wao kumbe yup huku
2026-10-11 18:03:43
1
user8greyson119443719280
Mama.G :
ila nimependa kacheza vizur Hadi raha
2026-10-11 19:13:19
0
user8340999160937
Neema Donald :
siku ya 3 maji hatuna kumbe yuko huku😂😂
2026-10-11 18:14:24
1
user5286074200096
Ponda Raphael :
mungu kwanza kazi baadae
2026-10-11 20:33:18
0
festusgraphics25
festusgraphics25 :
fundi wa Dawasco yupo uku
2026-10-11 20:22:31
0
mwajumajumanne336
mjcute :
jina la wimbo
2026-10-11 20:10:50
0
uncle.tito08
🔥TITO MOTIVATION 🔥 :
jamaa kaamua kukata maji , aende kwa yesu big up bro
2026-10-11 20:09:16
1
giftykambona
Gifty kambona :
maana ni maharufu Kwa alivy vaa najiuliza ilikuja had atafuta hii code. je kabat alikuwa na nguo nitamuhoji sana [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 19:16:01
3
mavisent1
ma visent :
ukiwa kanisani hakia mungu kama umefika Kwa yesu kule ni amani tuur huwazi kodi Wala kula unawaza kuomba na sifa kama ivo waoooh ♥️♥️♥️nakupenda yesu
2026-10-11 19:40:48
0
user26706628048135
Faiza Mzena :
yuko serious hatari
2026-10-11 19:35:11
0
kingsaro_254
kingsaro254 :
2026-10-11 20:39:57
0
emanuelsonchristian7
emanuelsonchristi :
jina la mwimbaji
2026-10-11 19:44:04
0
farismabruki
faris mabruki org :
ndio maan maji hayjafik mtaan kwetu kumbe engineer yup uk
2026-10-11 19:50:33
0
user1711721502611
Jonathan bahati :
twende thu
2026-10-11 19:21:16
1
mmarystella
Ella _Officially :
Eti utajuaje kama katoka kazin kapitia Ibadan ila watu😂🙌
2026-10-11 19:51:20
0
To see more videos from user @ignitegenz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About