Tanzania hutana quality standards za bidhaa nyingi. Rwanda wametuzidi kwenye Standards. Huwezi kuingiza bidhaa za ovyo Rwanda. [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 12:49:34
3
emanuelilemomo :
dada nimekuelewa vzr sana🥰🥰🥰
2026-10-11 17:42:59
1
Nira :
kweli kabsaa
2026-10-11 14:24:59
2
Sengobad :
Ukikomaa na quality anakwambia sina
2026-10-11 17:04:38
1
tzgirl_-🦋- :
aah asante sana sis kwa ufafanuzi
2026-10-11 18:41:53
0
MJ shoes trendz kkoo :
Dada acha maneno mengi mim nilimpa mchina dau kubwa tena full box nilimpa bei ya kama 28 kiatu nilikua na target zangu alichonifanya 😅sijui nilie au nikae alinipa kiatu tofauti tena haina box alichofanya akaniomba msamaha eti alisahau oder nakurudisha kagoma anakuambia next time atanipunguzia bei t hila mim nilishapata hasara
2026-10-11 15:29:58
1
Wencecode :
nimeongeza kitu kipya be blessed sis
2026-10-11 15:05:17
1
hellen_uniquecollection :
naomba unipe namba yako ya whtsap
2026-10-11 15:57:51
0
Caelum_Ventures :
una akili sana wewe sister😆
2026-10-11 13:43:31
0
jonijoni :
shida wabongo wengi tumezaliwa adi tunakuwa na mawazo ya kimasikini ya kisukuma ya kishamba ya kinafki ya kikoloni yaan tunamaisha mabovu hatari mpka mm hua najiuliza au may be ni mtu wa mambele maana sielewi swaga za wabongo wenzangu
2026-10-11 14:29:37
1
Pajuju Abaya Fashion :
🙏🙏
2026-10-11 12:54:24
1
To see more videos from user @rayner_china, please go to the Tikwm
homepage.