Big Minds.. Discuss the future Generation Kongole sana👏👏👏
2026-10-12 10:15:01
0
Ellen :
Rudia tena “You’re child is not your friend”
2026-10-12 06:12:09
2
Abal Safi :
Naam Mafundisho ya Mtume kabisa haya.
2026-10-11 17:58:09
19
🎀momo🎀🪄 :
mwanangu yuko kweny saba ya pili ya kumtesa atakoma😂😂
2026-10-12 05:48:17
4
elicia :
ngj nisev
2026-10-12 05:47:52
0
O.sir :
kila mtu alee wa kwake
2026-10-12 13:53:26
0
Happy Odolly :
me sijui ninashda gan maana saba ya pili ndo anaitumikia akiwa saba ya kwanza sijui naweza badili hili vp ili niwe nasawa na haya mafunzo jmn
2026-10-12 08:14:54
1
Ishi :
yes yes yes
2026-10-12 06:44:01
0
beatha asante :
mm Saba ya kwanza nimeigeuza kuwa Saba ya mwisho uwiii
2026-10-12 08:51:24
0
MR. Afya Health Care :
hili jamaa linajua bhn
2026-10-11 17:30:15
0
neema :
wakwangu 7 ya pili ndo anafanya sasa na hajaingia 7 yapili
2026-10-12 04:14:37
0
Secunda :
Kuna muda haya mambo hayana formula..... Do what works for you. watoto wana tabia na maono tofauti katika ukuaji. pia mazingira na makuzi ya watoto yanatofautiana sana.
2026-10-12 09:01:29
0
dr snow medics :
7*7*7
2026-10-11 14:11:05
0
GUD 👍 :
sawa sawa
2026-10-11 14:11:44
0
simonscolar :
yes
2026-10-12 12:27:26
0
jairosreuben507 :
7777
2026-10-11 17:23:26
0
Emmy 🛍️ :
Wangu yuko 7 ya pili basi kazi anapiga kama mbwaaa🤣🤣yeye mwenyew anauliza mama nimemaliza usafi kwenye banda la kuku utaskia nipe kaz nyingine haya fagia uwanja🙌 sema nimeanza kua rafiki
2026-10-12 05:29:19
0
arish trilly :
akhsante,, unafundisha vizuri kama alivyofundisha nabii Muhammad
2026-10-12 13:54:17
0
MY LORD♡o。.✿✿✿✿ :
😂
2026-10-11 14:14:21
0
m&m :
@huyumimi255
2026-10-12 09:26:19
0
To see more videos from user @mwijagemindset, please go to the Tikwm
homepage.