@marck_jonas255: kitimoto iwebinapimwa baada ya kukaangwa

MARCK JONAS
MARCK JONAS
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 12:39:25 GMT
10528
328
24
87

Music

Download

Comments

softchill0404
Soft-chill💫 :
Unaweza kuongeza sauti bro😁😁😁
2026-10-11 19:01:28
6
angelinakombo
candymilly :
fact bro
2026-10-11 18:51:35
0
m_lee31
ManagerLee kids outfits :
Tuandamane kuhusu hili🤣
2026-10-12 03:46:04
0
chimamry5
Coconut 🦋🫧🌸🥥cherry 🍒 :
Umesem jambo 😂 tulfatilie tupate haki yetuuuu yoooo 😂😂😂
2026-10-12 04:19:07
0
kijanawataifa
kijana wa taifa :
wantuonea sana kaka
2026-10-11 18:46:59
0
andrewrodgers05
K A K T U S🌵 :
2026-10-12 04:39:23
0
suzzy5973
suzzy kimaro 💦💦 :
Ndio bwana
2026-10-12 04:01:03
0
rosalyn46181
Sanga_Rosalyn🇹🇿 :
kabsa wanatupunja sana🫣😔
2026-10-12 04:30:03
0
kapushidotta
🦋Mussulo :
mn nachoka 🤣🤣
2026-10-11 22:16:49
0
official_jozy
Jozy :
kwani wao wananunua ikiwa imekangwaa mkitaka mpimiwe ikisha kangwa kg mtauziwa 30,000
2026-10-11 23:54:11
0
itsstella97
-Stellar-🍒 :
Kwa kweli jmn 😂
2026-10-11 21:00:36
0
devan.desan
Devan Desan :
2026-10-11 22:07:14
0
bosslady2555
Boss Lady :
Naunga mkono hoja 😅
2026-10-12 04:02:37
0
officalmoni
Officially MONY :
Chips yai wamepunguza kipimo enough is enough 😂
2026-10-11 22:55:17
0
juliethjovit
juliethjovit :
🤣🤣🤣Kuna watu kitawalamba
2026-10-12 01:17:58
0
felistaaclesgmail
[email protected] :
😂😂😂😂na mnaibiwa
2026-10-11 21:40:58
0
nervisthings
Nervis_things :
😂😂😂😂surely nusu inakuj kama robo
2026-10-11 23:20:56
0
daniel635239
daniel :
2026-10-11 18:46:23
0
mackmude
cybergamestz :
😂😂😂
2026-10-11 21:28:39
0
lnsrestaurant
lnsrestaurant :
LNS Restaurant — Moto. Taste the LNS Restaurant ni biashara ya vyakula na vinywaji inayopatikana Dar es Salaam, Tanzania. Tunajitolea kutoa milo yenye ladha nzuri, vyakula bora na vinywaji viburudishavyo, huku tukizingatia utoaji wa huduma bora kwa wateja wetu. Huduma Zetu 1. Huduma za Mgahawa (Restaurant Services) Tunatoa aina mbalimbali za vyakula vitamu vilivyoandaliwa kwa umakini, kwa kuzingatia ubora, usafi na mahitaji ya wateja wetu. 2. Huduma za Upishi kwa Matukio (Catering Services) Tunatoa huduma za upishi kwa ajili ya harusi, sherehe za siku za kuzaliwa, hafla za kampuni, mikutano ya ofisini, mafunzo, warsha na matukio mengine maalumu. 3. Juisi Freshi na Vinywaji (Fresh Juices and Beverages) Tunatengeneza juisi za matunda na kutoa vinywaji mbalimbali vinavyokamilisha milo yetu na kuwapa wateja uzoefu mzuri wa ladha na burudani. 4. Vitafunwa na Bites (Snacks and Bites) Tunatoa aina mbalimbali za vitafunwa vinavyofaa kwa mikutano, mikusanyiko, sherehe na matumizi ya kila siku. 5. Suluhisho za Chakula kwa Matukio (Event Food Solutions) Tunatengeneza vifurushi vya chakula vinavyoweza kubadilishwa kulingana na mahitaji ya wateja, idadi ya watu wanaohudumiwa na bajeti ya kila tukio. Dira na Falsafa Yetu Katika LNS Restaurant, tunaamini kuwa chakula ni zaidi ya mlo; ni njia ya kuwaunganisha watu, kutengeneza kumbukumbu zisizosahaulika na kujenga mahusiano ya kudumu. Dhamira yetu ni kuwahudumia wateja kwa ubora, uthabiti na upendo, huku tukijenga chapa inayoaminika na inayokua katika sekta ya chakula, ukarimu na huduma za upishi. Ushirikiano na Fursa za Biashara LNS Restaurant iko tayari kushirikiana na kampuni, taasisi, waandaaji wa matukio na wadau mbalimbali katika kutoa huduma za upishi kwa taasisi na makampuni, kushirikiana katika matukio, pamoja na kupokea fursa za uwekezaji zitakazosaidia kukuza biashara yetu na kufikia wateja wengi zaidi. Wasiliana Nasi 📍 Mahali: Dar es Salaam, Tanzania 📞 Simu: 0743396004 📱 Mitandao ya Kijamii: @lnsrestaurant LNS Restaurant —Moto. Ladha ya Ubora. Tunakuletea ladha bora, huduma yenye kujali na uzoefu unaostahili kukumbukwa.
2026-10-11 15:03:11
0
To see more videos from user @marck_jonas255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About