@tanzaniaprimetv: Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya urembo ya Miss Global, Rose Uisso, ametwaa tuzo ya Best National Costume, inayotolewa kwa vazi bora la asili katika mashindano hayo yanayofanyika nchini Thailand. Ushindi huo unaipa Tanzania nafasi ya kutambulisha utamaduni wake kupitia mavazi ya asili katika jukwaa hilo la kimataifa la urembo.
Tanzania Prime Tv
Region: KE
Sunday 11 October 2026 12:55:47 GMT
Music
Download
Comments
Tlaxi wwk :
Hii nchi mwaka huu ina hekaheka atari🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 16:09:38
217
SARAH 🥰 :
eehe huyu ndiyo mtanzania🇹🇿 mwenzangu sasa
2026-10-11 16:13:00
70
£*$p€®~💘💖 :
baba punguza hiki kipaji utatuua na hizi raha jomonii
2026-10-11 16:56:28
75
G💫 :
Congratulations TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-10-11 19:56:46
0
morachi_100s :
mbona mwezi huu mamisss wanashinda sana jana jihan kashinda simba kashinda leo tena huyu eeee
2026-10-11 15:36:14
57
Najma :
this isnt normal ,nin kinaendelea ?
2026-10-11 19:57:24
0
乄Kρ๛Fιȥσ :
ehh mwengine tena[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-11 17:59:24
0
Neyllah❤️🩹💙 :
msisahau nyuma ya furaha kunajambo la huzuni. msisahau kutunza vyakula🙏
2026-10-11 16:41:40
31
safina🥰😍 :
💚💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚🇹🇿 watanzania mpooooooo
2026-10-11 19:13:07
0
Ney♥️ phapretty :
Congratulations 🇹🇿❤️Ila likiisha hili jmn elnin yetu tfadhar😂😂
2026-10-11 16:46:39
9
CHUGA QUEEN 👑 :
kabila gani
2026-10-11 16:44:55
11
saudah27 :
kuna mtu kasema tutarogwa mwaka huu
2026-10-11 16:42:50
14
careen naughty girl :
[Red heart][Red heart][Red heart]TANZANIA
2026-10-11 16:21:37
0
Mis Sondo :
Wasukuma juu juu🤷
2026-10-11 16:55:57
6
hammy🦋🌼 :
mashindano wa watu wavivu yakiwep mnistue😁😁😁
2026-10-11 18:09:38
6
Sar❤❤❤ :
Tunahakikisha tunabeba vyote mwakaa huu alafu linabaki deni la taifa . tunagawan ok Tz😂😂🥰
2026-10-11 16:54:07
12
Dreaming 123 :
Tanzania ichukue ushindi mala mbili
2026-10-11 16:50:32
5
my confidence 🇹🇿🇵🇷 :
nimesikia anasema tabora au nimyamwezi
2026-10-11 18:23:33
1
user63558312678128 :
huyu nae anajitahidi c tumshike mkono jaman
2026-10-11 15:36:24
9
sharif fadhil :
yaaan mimi ile grand na hii costume zote sielew kwa ajili ya nn. nachoambulia ni ile miss world ambayo kwa sasa ni miss universal
2026-10-11 19:15:07
1
Parker06 :
Hii nchi tutapumzika mbinguni😅
2026-10-11 19:17:55
1
aiem christina 💕 :
huu mwaka wetu na wema kazaa
2026-10-11 17:43:43
2
Miss G🥰 :
MUNGU IBARIKI TANZANIA 🔥🔥🔥
2026-10-11 16:00:23
3
user63558312678128 :
weweeeeeee🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-11 15:35:59
1
vitharia😘 og :
yaan hii nchi Toka mwaka Jana hekaheka kibao 😂😂😂
2026-10-11 17:17:42
2
To see more videos from user @tanzaniaprimetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.