Habar Kaka MashaAllah unafundisha vizur na kutukumbusha pia LAKINI tafuta maneno mazuri ya kuwafanya watu waweze kuangalia video zako na sio kwa kutoa maneno mazito kama hayo Usimkosoe mtu sasa kwa vile kapotea inabidi umuombee dua ili arudi katika njia sahihi na sio kuandika maneno hayo kwa maana wengine WATAPITA KWER na Wataona kama umewakejer tafuta maneno mepesi ya kulainisha mioyo Yao na huo ndo ukumbusho wa kwer kaka yangu. kama NIMEKUKWAZA naomba unisameh🙏
2026-11-01 04:06:29
6
man- nasady :
sayyidil istighfaar iyoo mtume saw amesama atakae tamka hiyoo madhabi yake yote atasamehewa ata kama ya ukubwa wa povu la wimbi la bahari