@sportstip24: Mpanzu ni kama Ronaldo De Lima, Kaletso kama Ricardo Kaka 😆 ⚽🔴🟢 PNG Mambo ya mbele 🌏 kwenye ardhi ya Tanzania 🇹🇿! Elie Mpanzu "De Lima" anaonyesha soka la kimataifa uwanjani na kuleta vibe la tofauti kabisa! Wewe una mtazamo gani kuhusu ulinganisho huu na kiwango cha Mpanzu na Kaletso kwenye dabi? Dondosha maoni yako hapa chini! 👇 PNG 📱 MBONA MOBILE ACCESSORIES:🔥 Pata vifaa bora vya simu, LCD na huduma za ufundi kutoka kwa wataalam. Tembelea ukurasa wao sasa 👉 @mbona_mobile.tools.and.lcd 📱 Fuatilia habari zaidi hapa: Instagram: @sportstip24_ na @bettingbrain24 Tovuti Rasmi: sportstip24.com #MirajiMaramoja #Sportstip24 #BettingBrain24 #SimbaSC #NguvuMoja #ElieMpanzu #KariakooDerby #SokaLaBongo #Kijiweni