@1mtafyatv: Usisubiri mpaka tatizo litokee Mapenzi yakipungua toa taarifa... Video kamili Youtube ya MTAFYA TV #dodomatiktok #dodoma #tanzaniantiktok🇹🇿 #viraltiktok #tanzania🇹🇿
mzee nina madem wanne ila mmoja ana nichiti [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 21:03:27
42
sashavent.1 :
me natak nikija nipewe mwingn 😅
2026-10-12 02:00:53
12
mimupretty :
oyooo my boyfriend is finally going to jail because he stopped loving me much
2026-10-12 03:47:19
3
moud_312 :
Ata sisi wanaume tunaruhusiwa kutoa taarifa kiongozi
2026-10-12 06:08:21
1
Aim pretty 🦋 :
Jmn me wang ni askar il sas niongee kwa kusimam au kwa kukaa😌
2026-10-11 22:02:47
24
Star💫 gal💋❤🦋🌹 :
Taarifa kwaiyo tunafikisha wap maan naona yangu kbx yanaenda kuisha
2026-10-11 21:02:37
19
Stellah Cosmetics 💄💋🇹🇿 :
Baba na sisi ambao hatuna kabisa tunaomba utusaidie kutupa wenza[Pray]
2026-10-12 03:06:35
10
Happy muyinga 982 :
mimi huku mapenzi yamepungua
2026-10-12 04:10:45
3
Mimah Harith :
R.T.O wetu kipenzi Hyera we love you baba.
2026-10-11 20:33:05
0
Twigaaaaa :
kabisa mapenzi yakiisha fanya maamuzi mapema
2026-10-12 04:02:17
7
preciousmmanuel23 :
mutuelekeze tutoe wap tarifa
2026-10-11 18:50:50
3
honjesarah :
kesho naleta raarifa apo mkuu😂
2026-10-11 20:22:38
10
user9433973461685 :
nakumbuka nikiwa darasa la nne baba alimpiga mama mama alimpa kichapo baba takatifu akamwambia mimi sio wa kunichezea hakurudia tena kumpiga mama mpaka leo mimi nina watoto
2026-10-11 19:32:18
6
Agnes💗🕊️ :
tatizo tukija kutoa taarifa hamtusikilizi jamni et nenden mkamalizane ndo tunakuja kuuliwa 🥺
2026-10-12 05:36:10
0
faith p :
wangu ni askar na tetoka kugombana sjui taarifa nafkisha Kwa nan sasa
2026-10-12 00:37:33
2
rey qeen💞💞💞 :
Nko ndach mapenzi yangu na uyu kiumbe yameisha co kupungua Afande plz njoon mnpangie chumba
2026-10-11 20:27:20
3
Jojo🍂 :
Kiongozi me wangu arudi kabisa nyumbni 😭 mnishauri jmn
2026-10-11 21:05:04
1
vencharles :
mi wangu n mwanajeshi sasa sjui ntafanyeje sasa afu kila tunakosana tuu lakn mkorofi n mm sasa sjui nifanyeje
2026-10-12 04:52:43
0
🐽stere 🍭💞🥰🥰 :
naenda kutoa taarifa shwaaaaaa🤣🤣🤣🤣 cna Bana me taarifa yakutoa labda yeye akatoye
2026-10-12 04:50:08
0
Kayla :
Natoa taarifa
2026-10-11 22:21:15
0
Princess 👸 :
Hii nchi kuta kweli kuna sehem imetoboka
2026-10-12 06:19:46
0
? :
kesho naenda maturubai mapema sana 😂😂
2026-10-11 22:29:15
0
Melania🔥💋 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Namba ya kupiga ni ngapi guys
2026-10-12 04:36:36
2
Nicaragua🫶 :
ko saiv polis wanze kulinda mahusiano😂😂
2026-10-12 03:28:16
4
munanjiku30 :
moja kwa moja hadi status[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-12 06:14:52
1
To see more videos from user @1mtafyatv, please go to the Tikwm
homepage.