@mifugo_podcast: 👉 Matumizi ya Vitamini wakati wa matibabu ya Ugonjwa wa Coccidiosis kwa kutumia Dawa za Amprolium na ESB3 huathiri ufanisi wa dawa hizi. 👉 Usichanganye vitamini ambayo ina mchanganyiko wa vitamin B1(Thiamine) Wakati unatumia dawa ya Amprolium kutibu coccidiosis pia epuka vitamin ambayo ina mchanganyiko wa vitamin B9(folic acid) wakati unatumia Dawa ya ESB3 kutibu ugonjwa wa coccidiosis #ufugajiwakuku #ufugajikuku #mifugotz #ufugaji #mifugo
MIFUGO PODCAST ⛎
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 13:55:26 GMT
Music
Download
Comments
tinamwaimu :
Asante
2026-10-12 10:44:24
1
@drmwana :
coccimed plus ina vitamin ndan yake inakuaje? apo
2026-10-11 16:37:20
1
ruqaiyah :
Trimafarm na vitamin pia haifai?
2026-10-12 05:26:18
0
Sylivia❤️ :
nilikuwa sijui asante
2026-10-11 18:19:54
1
user4552241444630 :
vip kuchanganya dawa za mafua na dawa za miharo?
2026-10-13 08:10:18
0
momo-braids :
je trimafarm
2026-10-13 03:42:05
0
lizyezze572 :
je nikwa dawa za. kutibu coccidiosis tu au sizuri kuchanganya vitamin na dawa dokta?
2026-10-12 10:12:29
1
Giantpoultryfarming :
Je ASTRISUL WSP?
2026-10-11 20:13:03
0
ULIPO NIPO :
ahsante kaka
2026-10-11 14:02:00
1
Salma Hussein :
Asante coccidiosis ni hatar sana
2026-10-11 15:16:52
2
satonya :
asante
2026-10-11 18:09:44
1
astylaizer5 :
hii imenisaidia sana
2026-10-12 04:46:49
1
user5278475707469 :
hapana
2026-10-12 17:39:29
0
falsafa ubeba maisha :
shukurani
2026-10-11 15:01:43
1
Evarist Munael :
kuku wang n wakienyej wanakoroma yan jins wanavyokoroma n kama spika mbovu ya radio nmewapa fluent ila bad je nfanyeje
2026-10-11 15:54:37
0
binalliy :
Wafugaji kuweni waungwana kila kata ina mtaalamu wa mifugo kuwen karibu muache kusababisha UVIDA kwa kutofata ushauri wa matumiz ya dawa
2026-10-13 14:06:32
0
abuu muqbil :
mm natumiq amprolium pia bado marazi yapo tatizo nn
2026-10-12 10:51:47
0
Zuu Hassan :
Hapana
2026-10-12 07:51:26
0
Thedy Aniah :
asante sana
2026-10-12 10:48:29
1
Daudi masayi :
hapana nilikuwa sijui
2026-10-11 18:40:11
0
justindangali817 :
je niitumie dawa gan kuku wangu wanasumbuliwa na mafua makali
dalili 1, kuku kukosa nguvu
2, wanapumua kwa tabu
3, kinyes cheupe
2026-10-12 20:16:19
0
Kevin Mbosa :
apana
2026-10-12 04:15:03
0
Madam G :
Nilikuwa silijui Asante
2026-10-11 20:23:36
1
Madam :
asant
2026-10-11 20:13:13
0
Donart Salanga :
hapana
2026-10-11 15:23:41
1
To see more videos from user @mifugo_podcast, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.