@tuzoonline: Kama kuna mtu maumia basi ataumia sana, kuna watu hawamini Bakhresa ni Simba sasa zandaani katoa maagizo mechi irudiwe mpaka sinema zetu😂😂😂 Video Nzima Tayari Ipo YouTube Kwenye Channel Yetu Tuzo Online Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu Kutazama #wajombalife #wajombatotheworld #tuzoonlinetunakupaunachostahili
Tuzo Online
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 15:00:39 GMT
Music
Download
Comments
MICHAEL MSELLE 🤖 :
Mpka ile channel inaonyesha swala za kiislam kinarudiarudia goal la mpanzu
2026-10-11 16:26:36
13
it's mushi 🐐☠️ :
mpka arise
2026-10-11 16:27:33
0
allen :
:niko naangalia marudio naona yanga anarudia makosa yaleyale ya jana
2026-10-11 17:23:02
2
pastor :
nahapo ni raundi ya kwanza
2026-10-11 16:10:23
5
user6544829768737 :
hata cinema zetu wanaonesha saivi
2026-10-11 15:06:07
12
HoSAm Bey👑 :
zinabondwa tu
2026-10-11 17:19:37
1
@m :
daah wame changanyikiwa kweli
2026-10-11 17:02:31
1
Bright :
hiyoo leo hiyooo
2026-10-11 15:41:11
2
Rinus Audax :
haaaaa.
2026-10-11 16:19:52
1
nshika :
Dosa bhana, mbavu zanguuuuuu
2026-10-11 16:06:52
1
Rehema :
dosa umenifurahisha
2026-10-11 16:22:45
1
jackline simbila :
yanga dude kubwa lazima waonyeshe
2026-10-11 18:25:01
0
Binti Hassani :
🤣🤣🤣🤣🤣jmn
2026-10-11 18:10:54
0
MCHINA MWEUSI_TZ. :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 17:51:47
0
King Mwafifi 🤴 :
Nipo naangalia marudio hapa simba kaelemewa sana, yanga inaweza kuchomoa magor😂😂
2026-10-11 17:52:33
0
fodyomary :
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hiyo itakuwa balaaaa
2026-10-11 17:35:46
0
JU GO :
yaani simba atuaminiki kuifunga yangaaaa!!! au
2026-10-11 17:11:56
0
user6544829768737 :
2026-10-11 15:05:49
1
Nur milanzi :
Na saiv wanaonesha tena
2026-10-11 16:06:32
7
Ndux mnyama :
😂😂😂😂
2026-10-11 16:49:12
0
Isunga :
mlizidiwa kila kona🤣🤣🤣🤣 #simbanguvumoja
2026-10-11 17:01:03
0
Peter Dj :
mi niko apa naangalia kupita sinema zetu
2026-10-11 16:40:33
2
Evelina Rubi :
acheni tuinjoy tu
2026-10-11 16:53:28
0
@getrudingowi :
😂😂
2026-10-11 18:38:20
0
Reuben Osuta :
jaman
2026-10-11 15:23:01
0
To see more videos from user @tuzoonline, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.