ivi kwenye mapenzi kunakubusu kichogo kweli au huyu anataka kunifuta kumbukumbu🥺🥺
2026-10-12 06:51:33
83
wa KATINDIUKA :
nimetoka FB video moja matangazo tooooop [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] bora huku tu
2026-10-13 08:35:05
0
Chimama 💋❤️🌹 :
Kumfata kwa nauli yangu na kurudi kwa nauli yangu uwiiii
2026-10-13 07:56:19
15
LOVENESS🥰 :
wasoma comments mko wap
2026-10-13 15:36:36
1
kimmi44 :
no coment
2026-10-13 16:34:51
0
Sultana :
Eti nili mlipia ada ya mwaka.mzima[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] Ila mimi
2026-10-12 10:29:58
1
Ivany Mwandat :
jamani tumsufu yesu kristo watumish wa mungu
2026-10-12 10:30:26
177
mirfat :
kufirana
2026-10-12 03:50:53
17
makaaya :
nime pitia comment nimengundua mimi ni mtakatifu
2026-10-12 19:22:27
23
Momo na biashara zake :
Kuenda kwa nauli yangu 🤣🤣 na kurudi
2026-10-13 06:11:05
12
😎😎 :
this message was deleted 🚫
2026-10-12 08:16:29
0
wizzikidy :
tulio kuja kusima comment tujuane[Snicker]
2026-10-13 10:35:33
6
happy Suzy :
Kufanya Mapenz Mochwari🤣🤣🤣
2026-10-12 16:44:54
7
faraja George :
kutembea saa5 usiku kwa mguu kwenda kwake na nikafika pale yupo na mwanamke mwingine akanitimua njee nikalud nyumba saa8 usiku kwa mguu huku nalia baada ya siku mbili tukaludiana tena
2026-10-11 20:25:58
27
fashyy 🎀🎀🎀 :
kugombana na ndug kisa mwanaume alf tukaachana
2026-10-12 07:55:21
8
Ñaah__Dee🧸🌸 :
Nilipga magoti ety naomba msamaha mpk leo huwa najicheka sana 😂😂😂
2026-10-12 15:16:44
8
katototako_tz :
aliniomba nimpeleke Igunga na nilikuwa sijawahi fika nikajikuta nimempeleka
2026-10-11 16:01:21
50
Akisa❤🦋 :
nilimpa Boy wangu Ada alafu akaniacha🥺🥺
2026-10-11 15:59:48
18
Hossie ♥ :
acha nikae chini kwanza😆😆
2026-10-12 14:17:57
8
hajra Heena🌹 :
nilivokuwa mpumbuv mpk kwapa yake ilikuwa naramba jmn mapenz🤣🤣🙌
2026-10-11 23:11:46
16
❤️💫FIRSTBORN💫💫 :
Nilijua kbc yupo na mwanamke mwingine ila sikujali niliwapenda wote wawili mapenziii shkmoo😁😁😁🙌🙌🙌
2026-10-11 17:08:44
6
Barak Striker9🤠💭 :
nilikua naenda na simu chooni akipiga nisichelewe kupokea😂😂
2026-10-13 08:10:34
7
To see more videos from user @_quimer_, please go to the Tikwm
homepage.