@kavishemotors: Tunauza magari yaliyotumik Japan, England,Dubai na yaliyotumika hapa Tanzania #kavishemotors #luxurycars #cars #magari #swahilitiktok
Kavishe motor's🚔
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 15:46:58 GMT
Music
Download
Comments
Ye Rungwe :
mimi siwezi kukimbia ila nawapa hesabu za matrix tuone kama magari yenu yatawasaidia😅
2026-10-11 18:48:42
32
anna :
😂😂😂jamani kwanini wakimbie?
2026-10-11 15:59:13
2
chugaman45 :
Braza miunaniumizaga sema samtam unanipaga hasira yakupambana 😂😂😂😭😭😭
2026-10-11 16:03:07
13
Selem Jafar :
ayo maisha ukiwa mwema sana na ukiwa na hofu ya mungu ayo magari hauta miliki maisha
2026-10-12 16:32:19
4
Venance :
Mwalimu wa Mathe hataki "Shikamoo"
2026-10-12 11:37:53
1
Chidmah❤️💦 :
yule aliesema hamtafika mbali😅😅
2026-10-22 06:39:32
2
Haruna nuru :
kilicho mkimbiza nn anajua mmenda kumtoa kafara nn maana hizo gar kuna njia mbili zakuzipata t
2026-10-11 19:07:47
3
✨🌖𝐌𝐚𝐫𝐜𝐞𝐥𝐉𝐫📱✅ :
alisema siwezi enda mbali hapa ni wapi???[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-12 06:35:26
2
g's mom :
sikimbii
ila nitaawambia nlikuwa nataka muwe hvo mulivyo kwa manifaa ywnu na famlia yenu
2026-10-12 09:05:51
4
Display Gasper :
ngoja upewe hesabu za matrix 🤣🤣
2026-10-12 05:16:53
5
mady hero :
inaonekana alisema hamtofika mbal
2026-10-20 05:36:17
1
Mgogo Wa Watu2 :
😁😁😁😁😁🙌🏽Mwalimu jau😁😁😁😁
2026-10-16 11:02:31
2
NGUSA STEVEN :
alikua anasema hatufiki mbali
2026-10-12 08:27:27
3
mgulusaidkiyanga :
Hata mimi nakimbia
2026-10-11 17:15:41
2
meemah🥰 :
malipo n dunian 😂😂😂
2026-10-11 15:57:47
2
johnn# :
huu mziki teacher lazima ale kona😂😂😂
2026-10-12 07:09:15
1
judyamadea :
iko siku nitakutafuta
2026-10-12 11:56:23
1
M@kupul@ champions 🏆 :
why
2026-10-12 08:26:30
1
user8477505390361 :
hajawakimbia jamani alikuwa anawahi kipindi cha mathe ni cha kwanza.
2026-10-12 09:13:09
10
MARCO 💰 :
Kuna Mahesabu Mpaka Leo sijaelewa Application Yake
2026-10-14 13:34:17
1
Wamaroa Samuel :
aki nyie 👉👉👉👉
2026-10-11 18:24:20
1
godfreymelkiady :
aiseee Ile trigonometry ni kisanga
2026-10-12 20:17:37
1
Mpili Forever :
Quadratic equation
2026-10-12 07:15:40
1
user24024190945116 :
Kakimbia 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-11 20:26:41
1
NMB :
one day yes in the name of Jesus 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-11 19:33:18
1
To see more videos from user @kavishemotors, please go to the Tikwm
homepage.