@saluh_tz: 🔥✨ 1 MILLION Views🙌 GOD has Done it🙏🤧 NEW COLLABO COMIING…!🔥🙌 Najua kwamba sio Rahisi kufika hapa bila Support yenu watu wangu na mashabiki zangu asanteni sana kwa kuupokea wimbo wetu #sinahiyana NAWASHUKURU SANA KWA SUPPORT YENU❤️ Nina ZAWADI yenu kubwa sanaa ya wimbo mpya #MPEPE Na ili kuhakikisha kwamba zawadi inafika vizuri kabiisaa ikiwa n special kabisa, Nimeamua nimshirikishe mtu kwa Mara ya Kwanza kabisa kwenye CAREER yangu ya MUZIKI nimefanya Collaboration yangu Ya Kwanza🔥🙌 Unafkiri ni Msanii Gani Mkubwa mwenye HITS za kutooshaa, Sauti yenye Power✨ na mwenye uwezo mkubwa wa Stage Performance🙌🔥 Atakayepatia JINA LA MSANII huyo Atajishindia Dau nono sana🙌🔥🔥 Leeeeets Goooooo.!!!💨🚬 . . #newsong #viral #foryou