Alioko zanzibar anichek nataka kuja nahitaj chumba na mwenyj
2026-10-11 16:42:37
10
hassanmangi41 :
Sasa ni kamusi au lahaja[Laugh approved][Laugh approved][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-11 19:22:18
1
Dullyspatan :
Mzeee wa papah😂 leo umepatikanaa
2026-10-11 16:53:04
9
magrethherin :
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁mnapenda kutukana
2026-10-11 18:36:24
3
CMT CAR WASH :
Huku nilisikia wanasema Mfereji wakimaanisha Bomba la Maji
2026-10-11 19:58:47
1
cheda54 :
Kuhusu kichongeo ni sahihi lakini asaiv waswahili tumepelela pendekezo la kubadili neno hilo na kulipatia neno jengine kutokana na utamaduni wa mswahili na hilo neno, haliakisi tena...
na hayo maneno mengine si maneno ya kiswa cha Kizanzibar bali ni lahaja ya baadhi ya maeneo tu ndani ya Zanzibar.... kwasababu wapo watu Zanzibar wamezaliwa na mpka wamezeeeka hawajui, hawakuwah kujua maaana ya lahaja hizo kwasababu si maneno ya kiswahili yaliyosanifiwa.
2026-10-11 18:48:32
3
Muu :
Kesho nakuja Nakupa Hela Ukaniletew Kifirio😅😅😁😁
2026-10-11 17:04:42
6
sabrasuleiman5 :
matusi ayo jaman
2026-10-11 17:53:46
2
Alyah Ahmed :
Nimekuona leo meat point mchana nimefurah
2026-10-11 17:02:28
6
Rawasen :
Kweli hio nchi nyingine 😂
2026-10-11 17:50:45
3
Muller th3 Gr3at :
nimekuona jioni unavuka kutoka round ya kwerekwe
2026-10-11 18:09:58
1
kulu :
at ww usiseme kamus la kizanzibar ni kamusi la kiswahil so la kizanzibar
2026-10-11 18:33:37
1
kadaru :
uwi
2026-10-11 17:06:01
2
Azizifashion :
mzee wa papa 🦈🐬
2026-10-11 17:02:53
4
Dhia muhammad shahar :
iih 😅😅😅😅😅
2026-10-11 17:04:44
2
محمد عبد الرحمن :
ههههههههههه
2026-10-11 16:20:23
2
🐟 SAMAKI FRESH LIVE BAHARINI :
karibun mnadani samaki fresh
2026-10-11 20:40:20
0
issa :
2026-10-11 17:22:32
0
moodykipla :
Duh
2026-10-11 17:28:52
0
dulla454 :
masamaki umefika unguja
2026-10-11 17:49:28
1
xeiph3 :
heee
2026-10-11 18:59:54
0
Emmy beauty collection :
karibu sana tukutembeze kidg
2026-10-11 20:44:50
0
mudathir😵💫 :
mzee wa papa
2026-10-11 17:30:07
1
Victoria GL :
siendi Pemba ng'o🤣🤣
2026-10-11 19:21:15
1
user2520486117077 :
maadili Hana vip na ndio kiswahili fasaha
2026-10-11 17:20:49
2
To see more videos from user @samaki_fresh_and_taste, please go to the Tikwm
homepage.