@agnesmurwa: ✓UTAOLEWA NA HESHIMA ✓HAKUNA KUKATALIWA ✓YOUR SHAME WILL TURN TO BE A BLESSING #fypシ゚VIRALTIKTOKTARRYINGINHISPRESENCE #fypシ゚viralword, Worship, Prayers
hii nayo ni yangu,nanyamaziwa bila kujua sababu ni gani
2026-10-12 11:13:07
29
Boss lady Busia :
naomba mungu siku moja unipe mwanamme wa kudumu milele
2026-10-13 05:08:28
14
Merciline :
Amen 🙏🙏🙏 ni Mimi hapa woman of God 🙏 please pray for me
2026-10-11 17:47:45
3
Juliet wasike :
this was me until I started praying
2026-10-13 04:21:32
4
Beatrice Awuor :
Nakataa kutumiwa maishani mwangu i break every spirit of Rejection
2026-10-11 17:57:57
18
MpendwaMariah❤️❤️💋💋 :
aiiii aiii aiiii aiiii aiii aiiii aiii aiii😭😭😭😭😭😭Mungu wangu nikumbuke akii nimechoka na Ali yakuchumbiwa nakuachwa Mungu nitoe katika hii Ali
2026-10-11 17:27:51
5
lataita006 :
God is restoring everything through this prayer...Amen🙏🙏
2026-10-11 17:46:58
1
🌺mamakeD&S💞 :
pia mimi kila nikitaka kukaa kwa ndoa wenye napata ataki😳😳😳
2026-10-11 18:08:40
4
sifa sifa :
mbn nkaa waniambia mm juu nliachana na bàba mtoto 2016 bt kila nkianza mahusiano yanijie kwa ndoto na akinijie ayo mahusiano mengne ya nafifia hyo inaamana gani naomba ufahamu plz
2026-10-11 17:21:32
6
GEN Z ✅ :
napenda huyu mama sanaa❤️❤️❤️
2026-10-11 18:07:07
2
Kush val 24 :
nimechoka ,nakaribia kupoteza tumaini ,ndoa inavunjika ,nkachumbiwa mchumba akafariki baada ya mwaka mmoja, kupata mwingine Jana karibu nidungwe kisu kanidanganya kumbe mme WA mtu ,niombee neema😭🥲
2026-10-13 13:19:01
1
Mamake luiz :
God naomba nipate wa kwangu ....kila ninapo pata mtu hunyamazaa na hivo ndivyo anaondoka....Am tired 😭😭 I just need to settle dear lord ..nipe mume wa kudumu naye milele...
2026-10-13 21:48:53
1
kikip :
i really love you mum,,your worship always inspire me when im stressed,,mungu azidi kukubariki,,,,uniombee mum im going through alot kwa kazi😰
2026-10-12 06:50:59
1
Amos mchesh :
Amen Ameeeeeen
2026-10-11 17:13:45
1
Joyce kiriswa :
pastor Naitwa Joyce kupitia maombi na mafundisho yako niko na wito wa kupeana huduma nisaidie kifikia ndoto yangu
2026-10-12 07:52:28
1
Mary :
Asante mtumishi napokea Kwa iman
2026-10-12 13:47:11
1
Elmida :
amen amen amen amen amen ifanyike kwangu
2026-10-11 17:22:06
1
peter :
Amen...niobeee
2026-10-11 17:08:15
1
Carol jm :
akate kwa jina la yesu
2026-10-11 17:19:08
1
itz mamushki :
amwen...niweke kwa maombi,na mm,agnes
2026-10-11 17:20:56
1
To see more videos from user @agnesmurwa, please go to the Tikwm
homepage.