@habil_al_ismaily: @user16174881141748 @Abuu Fa'aris ibnu husseiyn

Al ismailly
Al ismailly
Open In TikTok:
Region: OM
Sunday 11 October 2026 16:42:52 GMT
12223
357
106
55

Music

Download

Comments

hamaha.2
Hamaha 2 :
Quran inafafanuliwa zaid na hadithi za mtume: Kuna hadithi za mtume nyng sahihi zinazothibitisha kuwa Allah ataonekana siku ya kiama. moja ni hii: إنكم سترون ربكم عيانا كما ترون هذا القمر ، لا تنامون في رأيته. Hakika nyinyi mtamuona mola wenu wazi kama mnavouona mwezi huu, na hamtosongamana katika kumuangalia. Rejea katika kitabu riyaadhwu swaalihiin. mlango wa pepo na moto
2026-10-14 18:23:07
2
amo_graphics
Just Make Money :
kijana mhuni
2026-10-12 03:23:22
0
draxlerzz01
Rashed :
maulama wa kiibadh pia wamesema vilevile haifai kusali nyuma ya mtu ambae anaamini kuwa Allah ataonekana siku ya qiyama
2026-10-11 20:53:29
5
somvli95
somvli95 :
Mi nnavofaham kuna muda lazima tuelewe makusudio mantiki ya lugha iliotumika ni kututaka sisi tuelewe ni kitu gan kilichokusudiwa, kwa mfano tukiambiwa Marekani ni kichwa cha dunia maana yake marekani ni nchi kubwa inayoongoza dunia kwenye masuala mengi kuliko nchi zote duniani ikiwemo uchumi, maendeleo, democracy na mengine haimanishi nchi ya marekani Ina umbile la kichwa, kwasababu kweny mwili wa binadamu kichwa nd kiungo kinaongoza mfumo wote wa mwili, ama serikali Ina mkono mrefu haimanishi ndo kuna kiungo cha mkono cha serikali, so tukiambiw M/Mungu ana mkono maana yake ana uwezo wa kuchukua, kutoa na kazi nyengine zinazofanywa na mkono ili kutupa uelewa sisi binadamu pamoja na viungo vyengine, any way elimu ni pana elimu ni bahar kubwa tukaeni tusome sisi waislam ni umma mmoja tusibaguane tuelimishane kistaarab. Wallahu aalam
2026-10-11 22:22:20
4
ahmedsmalshibany
ahmedsmalshibany :
well done Sh Ismail umewajibu vizuri hao wasiyojitambua. Mufti wa Oman amewahi kumuomba mufti wao wazungumziye hayo mambo mbela Al kasbah na walikataa
2026-10-14 08:57:15
3
parkroad1
kizere :
Na maibadhi pia wasema " hana swala mwenye kusema aamin kwenye swala"
2026-10-12 19:17:56
2
miiskyline
LANN99 :
sahihi lakini bdo hujafikia kwenye ufunuwo aloshushiwa mtume muhammad s.a.w inshaallah utafika kwenye haki[Victory]
2026-10-11 19:58:05
2
khamis.seif5
Khamis Seif :
Machecheo unajua Kuna Aya muhkamat na mutashabihat, hizo ulizotaja ni mutashabihat
2026-10-12 03:43:40
0
jaffarmuhandas
Muhandas :
Maneno yq ALLAH sio kiumbe
2026-10-12 05:42:32
0
elllaadhiry24mohsal
El-llaadhiry. @M&..... :
Assalam alaykum,. kaka mm ni ibadh pia na unayo ongea unaongea maneno ni sahihi ila kaka usipendeleee sana kushindana na mashekh mitandaoni iwapo tu ameongea kwenye pej yake bila kubishana na ww coz maibadh sio wagomvi au wabishani mitandaoni. kama ni ibadh kaka basi fata vile mashekh wa ibadh wanaish
2026-10-12 16:40:27
0
user721512580
Ahmed Mohamed :
ni dalili kua kundi la salaf ni kundi lililo okoka coz kula kundi linaisem salafiya
2026-10-13 13:33:59
0
muhammadhussein1310
King of the Jungle :
Unaelewa kwamba itikadi ya kiibadhi inasema, kama utamfuta imamu ambaye anafunga mikono, basi swala yake imeharibika, tafuta kitavu cha kiibadhi kinachiitwa RISALA
2026-10-13 06:26:44
0
mr_camed_
BIN HAMED MAZRUI :
mashallah
2026-10-11 17:44:18
3
ishaqaalghaafiriy
ishaqa alghaafiriy :
أعانك الله ياأخي الفاضل
2026-10-11 19:40:27
1
soudmuhsin5
Soud Muhsin :
safi umejibu vizuri
2026-10-12 19:27:37
2
ali.seif.salami.a
Ali Seif Salami Al Riyami :
AL-ISMAILY.
2026-10-11 20:15:10
1
shee_mansour
Habii :
kijana wetu tupe vitu
2026-10-11 21:31:30
1
khamis.seif5
Khamis Seif :
Tatizo munachanganya Aya muhkamat na Aya mtashabihat
2026-10-12 03:41:05
1
abuyseifam
Abuy.el- r@ssady📚 :
Ahsantaaa🤝
2026-10-11 21:28:00
1
ali.seif.salami.a
Ali Seif Salami Al Riyami :
2026-10-11 20:14:53
1
akhymussa
abuu ahmad :
kusome kijana
2026-10-14 21:14:10
1
kggni
Pba :
Quran sio kiumbe, ni maneno ya Allah SW
2026-10-18 16:11:53
0
labuni424
labuni :
Binafsi nashangaa sana mashekhe badala ya kufundisha watu kufanya ibada, wahimize watu kujifunza dini, umoja wa waislamu... wanapandikiza chuki baina ya waislam🤦‍♂️... Allah atuongoze, atujaalie umoja katika dini
2026-10-18 03:38:08
1
elmahrouqy
ElYounger Tec :
Dogo Big Up Nakuaminia !
2026-10-14 21:37:36
1
abuu.salmane
Abuu salmane :
Sasa hizo sifa si kasema mwenyewe
2026-10-12 12:38:14
0
To see more videos from user @habil_al_ismaily, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About