@muktadhapodcast: Vipi tunaitangaza Zanzibar!?

Muktadha
Muktadha
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 11 October 2026 17:02:58 GMT
6709
292
44
25

Music

Download

Comments

kingdaru88
Zanzibar 🇹🇿 :
tatizo muungano ndio unatusokota imetuziba kila kitu na ndio maana hata karafuu hatuna mamlaka nazo wa kenya ndio wanapata sifa ya karafuu kuliko ilipozalishwa
2026-10-11 21:31:48
4
roamer2026_
Damn :
Zanzibar wanapaswa kuamua moja. Sehemu ya UTALII au DINI. Maana huwezi kutaka utalii halafu unachapa watu wanaokula Ramadhani au wanavyovaa. Chagua moja.
2026-10-15 15:03:32
1
zainabjosephat
💔💔💘💘 :
zanzibar mna vivutio gan Jaman
2026-10-12 09:54:46
1
mohamedhumoud5
mohamedhumoud48 :
Ukarimu hatuna kwa wageni kwa sasa mfano tiketi za boti ziwe sawa kwa wote mpaka kinyozi bei ya mgeni iko juu sana
2026-10-12 05:17:08
1
noor_alyusr02
🇹🇿🧕🍂 :
huku nje ya nchi tunaonekanwa kisiwa tajir🤣😆💔 classmates wang wanataka kuja vacation na wanataka husband from zanzibar alokua tayar wachumba jmn😁🥰
2026-10-16 15:42:38
1
zanzibargentle
zanzibargentle :
well said
2026-10-11 18:57:14
2
theflorazanzibar
The Flora Zanzibar :
Arif nakukaribisha tena Flora Zanzibar uje uone the home of swahili culture.
2026-11-06 20:00:01
0
mostpowerfullai
ChatGPT :
Huyu ni Arif au
2026-11-03 21:04:08
0
ameirdizanzibar152
Ameir Di Zanzibar :
sahihi maaliim
2026-10-26 16:06:52
0
fatmakhamis488
fatmakhamis488 :
kweli itafika mbali
2026-10-12 08:29:33
0
shibuy25
shibuy :
Madlif wageni hawaibiwi wala hawakerwi na mapapasi , mapapasi waliopo Zanzibar wamekaa kama paka akiona samaki, ilo hamlioni
2026-10-11 20:58:26
1
_eljabry
_𝒆𝑳𝑱𝑨𝑩𝑹𝒀 :
Mnaiharibu znz wallah👏 culture ya uislam mumeiua kabsa maisha yamekua ya ovyo huko vinana wa ovyo mm ni mtu wa huko lkn siwezi ishi huko
2026-11-04 18:04:05
1
shibuy25
shibuy :
Kunq maudhi wanafanyiwa Wageni Zanzibar Dunia nzima hakuna kero kama ilo lililopo Zanzibar
2026-10-11 20:59:36
1
zinjibar46
Zinjibar :
Bullshit.. enough is enough katika kuivuruga Zanzibar kwenye huu uchafu uitwao utalii. Hebu tubadilike tu-focus kwenye kuimarisha maadili yetu, silka zetu na ustaarabu wetu and for once kets forget about utalii jamani. Zanzibar inafisidiwa sana na hii sector lakini cha kuskitisha majority of us don't realise and see it
2026-10-23 00:08:56
0
khamis_mazrui1
KHAMIS AL-MAZRUI🇴🇲 :
💯💯
2026-10-18 20:03:41
0
To see more videos from user @muktadhapodcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About