@binaupdates: Duh! Kumbe zaiylissa alipata mimba bado akiwa ni mwanafunzi jamani, sikiliza hapa akisimulia baada ya kupima na kujikuta ni mjamzito alivyomwambia mama yake na bab yake.

Bina Tv
Bina Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 17:50:56 GMT
204919
13190
77
127

Music

Download

Comments

zashy850
ZASHY🦋🌸✨💫 :
Mtoto yupo wapi?.,
2026-10-11 19:21:02
65
felin.289
Felin 289 :
Alafuuu uyo mtoto yuko wapiii?
2026-10-12 01:24:01
16
gloryangel_j
Natal Swedy :
tuliopata mimba la 7 sisi tunacoment wap
2026-10-12 02:03:26
16
dethajoseph5
detha47 :
me nampendaa zai ananongeshaa kipind , ilaa waongezee mdaaa ata dakik 40 mweee
2026-10-11 19:02:38
68
khadhuj655
❤️Top queen 👑 :
kurusha kipimo [Tears of joy][Perfect score][Heartwarming][Snicker]
2026-10-12 05:41:40
2
angellina0491
angellina :
Nanyie ni A list
2026-10-12 01:52:30
3
ammy.bay0
ammy bay :
Huy mimi kabsa😂😂😂
2026-10-11 19:47:11
6
jeskamussa872
Jescah Mussa :
Daaaah yan stor kam yang nikabeb mimb mam kapanik mzee mpole anaumia moyoni tyu mda huo fm four
2026-10-12 12:46:29
1
chimumy630
chimumy :
Wallah nimecheka mh
2026-10-11 18:20:34
15
reginapeter332
Regy peter🦋 :
wewe ni mimi wazaz wako ni wazazi wangu baba mpole mama sasa wee apo mdogo angu tunda ananishauli dada itoe 2,ila sasa careen wang anamiaka 10 nilimpata 2016 naform 4nimeitimu2015 mimbatumboni daaah
2026-10-12 04:35:57
14
debora.msule
Pisces♓️ :
Ila zay😂
2026-10-11 18:55:12
14
elivira.atulinda
Elivira Atulinda simon :
zai mm uyo ,ila nilishamaliza 4,leo mwanangu anafanya necta form two nipo nakula maisha ,nakula maisha 😂😂😂😂
2026-10-12 11:28:15
1
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
sasa mtoto akiona hii post itakuwaje
2026-10-12 06:32:23
1
aminababy95
user3022213831295 :
mh umenikumbush machung ulip ongea kuhusu baba yangu mdog wangu alibeba baba akaw hasem amepat maradhi na kufarik yaan mm nimemchukia mdog wangu mpak ss mungu mlaz mahala pema babayangu kipenz
2026-10-12 01:34:09
1
user23458865442694
mishi baby :
hii story gen z tepigwa jamani
2026-10-12 06:47:53
0
melissa.john637
Melissa John :
mam yako mpoleee
2026-10-12 04:19:24
1
njogoyadebby2
🐳Dee❤️ :
Baba angu alivyo kuwa mkaliii…upara wake ungeota nywele ….[Teary eyed] Rest in peace dady💔
2026-10-12 12:03:39
0
niniy.mommianna
💎NINIY MOMMIANNA💎 :
😂🤣😂
2026-10-11 21:00:15
0
user3551922927533
user3551922927533 :
next
2026-10-11 18:57:24
7
mamuorg0
a'm mimi💦💧🍉 :
jmn ni amina yupi huyo
2026-10-12 04:32:50
0
cluzy.macho
Princess Cluzy Macho🦋 :
😂😂😂ila zay
2026-10-12 14:31:08
0
melissa_bineza
melissa_bineza :
Kwa nini kumsema mdogo wake ivo jamani ,
2026-10-12 05:17:10
0
kidawasephu
Mrs kazare org 😘🥰👑💯 :
eti mpumbavu mwenzio 😂😂😂
2026-10-11 18:50:29
9
amima174
Amima :
ume Anza kitambo mwanetu😂😂😂
2026-10-11 20:55:32
4
favournice4780
cute💅💖love :
mwingine alimpoteza
2026-10-12 11:41:03
0
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About