@obedjkatunzi375:

PASTOR Obed J Katunzi
PASTOR Obed J Katunzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 18:14:31 GMT
23948
1409
122
73

Music

Download

Comments

mungu32
neemadavid935 :
Si Umesema mke alipewa talaka?? naomba kuelimishwa Kwani mtu.akipeana talaka haruhusiwi kuoa au kuolewa Tena ? mwenye kujua anoeleweshe plz
2026-10-11 19:08:01
5
davidnzaro813
DKK 003 :
Sasa kama kapewa talaka anakuwaje mke wa mtu?
2026-10-12 08:20:15
3
user4417109971763
kissy Gk :
Black black and white white no diversion
2026-10-11 18:30:43
2
pastor.musa.kilamb
Pastor Musa kilamba :
ubarikiwe sana
2026-10-11 19:14:08
5
peterkivuyo800
peter :
Sasa kama waliachana
2026-10-11 19:08:49
2
vyankiller
VYAN KILLER :
mm naomba unishauri mchungaji mm nikijana sijawah kuzaa lakini nimeoa binti alie wahi kuzaa akiwa shule je mm nina kosa
2026-10-11 18:23:30
0
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
mtumishi niombee nipate mchumba hata kama ni single mother
2026-10-11 18:48:26
0
isabelajohn465
Isabela John :
hongera,una msimamo kama wawakatoliki, wengine kawaida tu
2026-10-12 03:33:59
0
user2481819619355
Lorytha :
AMINA pastor
2026-10-13 19:19:11
0
nuhuzakarialamaru
NUHU ZAKARIA LAMARUKA :
safi sana mchungaji Barikiwa sana na Bwana wetu Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai
2026-10-12 16:40:06
1
kefa.rabison
[email protected] :
sasa mtumishi samahani lakini kwa mfano imetokea kwa kwa mfano mtu wa mioana bila ndoa hafu mwishoni wakaachana alafu mwingine akaenda akamchukua yule akafunga naye ndoa je huyu hatakuwa mke
2026-10-11 18:35:19
0
pastor.belly.5
peshi belly 5 :
kweli kabisa
2026-10-11 19:10:41
2
mtumishielisha3
Mtumishi Elisha 📖☑⛪ :
amen🙏🙏🙏🙏 yohana8:32 utajuwa ukweli na ukweli utakuwekaa huru
2026-10-11 18:21:01
2
user7047350480281
Stanslous Mussa Mihuka :
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa Ujumbe hai
2026-10-12 14:27:46
1
solomon1162
Solomon :
talaka inamanisha nini
2026-10-13 05:50:26
0
deboratawila
Debora tawila :
amina baba
2026-10-11 19:03:45
0
benjamin.wagila
Benjamin wagila :
Alikua Bibi yangu
2026-10-12 17:03:25
0
stellawilson651
Stella Wilson :
safi sana mchungaji upewe mauwa
2026-10-11 23:19:11
1
user3110609463959
user3110609463959 :
Mathayo 5 31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; 32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
2026-10-13 08:49:23
0
mzabibukihwele
user6032120194803 :
SWALI KWA HIYO IKIWA MTU ALIPEWA TALAKA AISHI MAISHA YA UZINZI AWE ANAJITEMBEZA TEMBEZA OVYO NA KUFUNGISHWA NDOA TENA NI BORA LIPI? NATAKA KUJIFUNZA HAPO NISAIDIE
2026-10-13 08:59:56
0
user20631274561
user20631274561 :
@jekama arikufa nifanyeje
2026-10-12 12:04:18
0
isaac_mtume_86
HOPE IN JESUS MINISTRIES 🇮🇱 :
Sauti Ya Mungu Aliye Hai Ni Thamani Kubwa Sanaa Barikiwa Sana 🙏
2026-10-12 11:44:29
0
sojamhehe
soja mhehe 🙏🙏 :
🤣🤣🤣
2026-10-12 11:06:44
0
najajolab.and.medi
NAJAJOLAB and medical device :
Yote haya ya duniani. Je Biblia imeandika hayo? Bora tu tuende mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Tunachanganyikiwa kwa kweli… sasa iyo ni dhambi?? Wakati mtu kashapewa talaka Mhhh
2026-10-12 10:12:04
0
william.emanuel842
William Emanuel :
Amen 🙏
2026-10-11 18:20:23
0
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About