@athumanju3: hii Simba Kila time itakutana nayo wana simbaaaaaasa hii ni mbyaaaaaa

CONTANA GHANA FOOTBALL 🇬🇭
CONTANA GHANA FOOTBALL 🇬🇭
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 20:04:17 GMT
61654
3632
52
67

Music

Download

Comments

simplynash09
simply nash🦋 :
Dis is thimbaaaaaaaaaa
2026-10-12 12:28:26
0
kiboko6
Nicknamè hippo :
ila Azam iliwaonya kuwa uziri kila mtu atakutana na Simba
2026-10-12 03:54:29
13
debobanter2020
bantermapixel❤️💍 :
narudia mechi yanga wanarudia makosa yaleyale😅
2026-10-12 04:40:58
7
the.vibes.gang3
THE VIBES GANG :
libase ndio top asist
2026-10-12 07:16:28
2
aminadulla0
Grn :
Steve anabonda limkono 😁💪
2026-10-12 07:00:21
1
japhetynestorycom
japhetynestorycom :
ila mpanzu alikuwa ana utaka mchez
2026-10-12 08:44:47
3
kvanny4
kvanny4 :
Kumbe kumfunga mpinza ni raha hivy imajin yanga wamepata raha mara ngapi
2026-10-12 07:10:08
1
alhajplasterdecoration
kanik Plaster Deco 🇹🇿 🇰🇪 :
seeeema James samwel anajua sanaaaaaa
2026-10-12 05:30:12
2
joakim.matheo
Joakim matheo :
Mpanzuuuu
2026-10-12 05:45:36
1
user5181575917483
user5181575917483 :
noma sana kaka
2026-10-12 06:06:54
2
asha13826
my love 😍😍😍❤️❤️❤️❤️ :
jamani raha sana
2026-10-12 03:32:43
1
user8763585616265
user8763585616265 :
2026-10-12 04:57:03
1
abdul.yusuph37
Abdul Yusuph :
hapo kanifuraisha sana duchu maana baada ya goli aliwaimiza wenzie warudi haraka muda bado
2026-10-12 03:22:49
3
ms_unknown70
Unknown🌚 :
Npo naangalia marudio hapa Dumbia atafunga tunapoelekea😂😂😂
2026-10-11 22:50:22
7
dogosila6
Dogo sila :
mmemuona duchu alikuwa anawataka sana
2026-10-12 01:12:54
2
thickphaty
ThickPhaty :
Nimetoka kuangalia marudio labda yanga watasawazisha lakini wapi wanarudia makosa yale yale
2026-10-12 07:02:41
2
onlyson.org
onlyson-org💫✨☠️ :
💯💯💯
2026-10-11 21:13:34
2
george.anthony08
George Anthony :
duchu kama duchu kocha ajaye simba
2026-10-12 04:06:40
1
hezroni.ikaya
HEZRONI I HEZRONI :
hawa jamaaa nisiwadanganye tulikuwa tunawaua hata 6
2026-10-12 04:55:00
7
leilahamran
leilahamran :
Yani naskia rahaaaaaaa San kil nikipit naon gor la mapenzu na maema aaaah raha sana
2026-10-12 06:39:40
4
user7432033662355
user7432033662355 :
nguvu moja ushindi inshaallh
2026-10-12 11:00:13
1
jackiesimba
jacksimba :
mimi nilikuwa namwangalia huseni abel,,,😂😂😂😂😂
2026-10-12 11:42:44
0
user9558135902529
mwana :
bado namwenzi wa 1
2026-10-12 12:27:05
1
siso03265
Siso :
duchu😁
2026-10-12 11:00:50
0
user1669579777334
christina nyirabu💕 :
kocha mitano tena
2026-10-12 00:06:25
0
To see more videos from user @athumanju3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About