boss mimi ninayo kama hio imekufa card naweza kupata wapi pld
2026-10-16 04:25:18
0
Wixton King :
hakuna mtambo hapo hyo ni ups hata dakika 7 haitoboi kwann hamchukuagi hela kihalali wakuu
2026-10-12 04:43:29
6
MR CHINA MOBILE PHONE :
wafanya biashara kuweni wakweli kwa wateja ndio maana mnawafanya wateja wanakuwa hawaamini kila mfanya biashara si uwaambie hyo ni UPS na inakaa na chaji muda mfupi lengo nikuzuia computer isipoteze data na sio kuwashia tv.
2026-10-12 07:26:46
2
Captain_Scott :
kwan si UPS hyo?
2026-10-11 23:44:06
1
Mitomingi :
hiyo tv bei gani
2026-10-17 13:26:08
0
user511851726133 :
Mimi nilikuwa nasubiria kujua jina la kampuni ya iyo tv , ila bongo si mchezo yaani ilimradi Kila mtu ai njozi maisha ,
2026-10-12 03:10:38
1
mkengesho :
mtambo Gani mbona kama unazingua watu hiyo si UPS haikai hata dakika 20
2026-10-11 21:36:34
0
Frank :
bei gani
2026-10-16 19:47:35
0
dAnStAn :
hiyo nikwa ajiri ya kukupa muda wa kusave data zako kama ulikua unazifanya na umeme uka katika ghafla kwahiyo hiyo itakusaidia usave data zako chap
2026-10-16 11:20:30
0
kelvinmeshack202 :
kwa matumizi kama ulio onesha hap Ina weza dumu na chaji kwa muda gani
2026-10-13 07:03:09
0
matimbwajr :
hapo nmeelewa baada ya kusoma COMENT maan yake kitu kama hiki kingekuwepo watu wasingefunga majenereta
2026-10-12 12:53:03
2
david blandes :
tafta kesi na watu masaa mawili mengi kimezima
2026-10-16 20:03:22
0
Chopatech :
Hiyo c UPS sasa au basi
2026-10-12 14:39:21
0
Denis Mathayo ( BABA USHAURI) :
hivyo ni back up sever ikichukua mda mrefu kuzima ni dakika kumi na Tano baada ya umeme kukata ili useve kazi zako
2026-10-12 15:04:10
2
Godfrey Linus :
inasukuma mpaka friji kwa masaa mangapi?
2026-10-12 06:48:02
0
Issa :
dk 10 haitoboi
2026-10-12 07:29:02
0
Kelvin Mwai Tz :
shingap
2026-10-15 08:25:23
0
yesyes nyalali :
inatumiwa masaa ngapi
2026-10-12 04:50:15
0
Maclean Jr :
Tangazo ukiona maneno meeengi, Mara pap , kimbia blaza, kimbia
2026-10-12 15:53:52
0
Technical_agro_iddi_haridi :
nakumbuka wale tuliotumia desktop computer hii ilikua part moja wako ya desktop computer zile zinatumia floppy disk,inakupa nafasi ya kuzima computer ili isije ikacorrupt au ukapoteza data ,aise bongo dah hatari sana. labda kama jumba la ups ila ndani umeweka mautundu yenu ila kama sio hapo ni kesi na video ya ushahidi anayo 😂😅
2026-10-25 18:31:54
0
MR right H.B :
Sawa inawasha, lakini haichukie ata dakika 10 inazima.
2026-10-12 05:39:17
0
Emily :
ni UPS iyo ni sawa na power bank lazima uchaji na haitoboi ata nusu saa
2026-10-12 07:16:40
0
Alex boxng :
mna patikana wapi
2026-10-12 05:40:15
0
mkengesho :
ups ya 750kva haifiki hata laki na nusu
2026-10-11 21:38:13
0
To see more videos from user @meshackmtopa0, please go to the Tikwm
homepage.