@kapingadesigns: Uwepo wa Mbadala wa software zote za #ADOBE inayojulikana kama #ARTCRAFT, Unamaanisha nini? kipi cha kuchukua? #PhotoCraft #VectorCraft #FilmCraft
Your business's marketing guy
Region: TZ
Sunday 11 October 2026 20:05:58 GMT
Music
Download
Comments
subissocco :
Mjomba Photoshop is. nnot for beginners
2026-10-12 08:48:45
0
Bin ally Artz :
I had kwamba zipo far different from adobe
2026-10-11 20:31:58
1
day10later :
asante
2026-10-12 12:26:56
0
Cas 9 :
nishachukua changu tangu jmoss😁
2026-10-12 13:46:57
2
Eizer :
Bado kuna vitu haijitoshelezi. Ila tuwape muda wanaweza kuwa wazuri. Je wakati wanaboresha adobe watakaa kimya tu. 😂😂. Adobe bado ni best duniani. Kikubwa ni knowledge na kuacha uvivu
2026-10-11 22:05:26
3
sofacleaners_dar :
Ata Affinity alikuja hivo hivo
2026-10-12 09:43:32
2
Chagaboy 930 :
nilisha amia kwenye Affinity design mda sana
2026-10-12 05:31:35
3
mwamba2005 :
vip ni offline
2026-10-12 12:15:18
1
wisdom.drop :
it's true
2026-10-11 22:29:35
1
RUSLAN :
mbona zilikuwepo nyingi, wakina inkscape, gimp, afinity designer, paintshop,lakini Adobe atabaki kuwa Adobe
2026-10-12 09:39:41
1
OWEH :
Kuna iyo evoto siku ikiwa free au mfumo wa kulipia ukiwa rahis oyaaaa photoshop inakufa keshooo
2026-10-12 12:26:00
1
mamba :
AI ni big revolution kubwa inaongeza creativity and innovation hii ni ndano mmoja na mingi yaja
2026-10-11 22:19:32
1
Raju :
post link
2026-10-12 06:49:21
0
MeddyStudios :
Adobe ni Adobe tu🔥🔥
2026-10-11 22:29:07
1
keyframe_vision :
Mzee umeitest zinakimbizaa kama hizi tulizozoea?😁
2026-10-12 10:33:32
0
paul madeit :
kuna adii za mackbook
2026-10-12 16:38:20
0
elkanagraphx :
ipo vizuri lakini kuna vitu bado havifanyi kazi vizuri mimi nmeijaribu
2026-10-11 21:49:28
1
L A I B O N :
Nazipata wapi hizi programs kaka?
2026-10-12 11:15:51
0
makavelibackup :
oya wametisha kinyama 😂😂😂 nilikuwa naangaika kinoma ngoja nii savu iii
2026-10-12 06:18:09
2
B.1802🇹🇿 :
tunaweza kui crack 😂
2026-10-12 12:27:25
1
To see more videos from user @kapingadesigns, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.