mimi ni yanga ila huwa sfagilii kitu kama hiki tume poteza game tukubali 2 tu consetraite na game zingine tumesha ona tulipo kosea ni kuweka jitihada tu
2026-10-12 05:49:47
164
thulam :
adi nimeshangaa iyo nguvu walioludinayo Simba uwanjani . wachezaji wasimba wote wanakimbia mda ote jaman mmh