@etltv777:

End time Loudcry Tv
End time Loudcry Tv
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 11 October 2026 20:20:58 GMT
2089
75
10
3

Music

Download

Comments

maryannewanjiruchege
MARYANNE TRIBELESS 1707 :
No. Your soul goes to either places. Remember The rich man and Lazarus? Read what Jesus Christ Himself taught.
2026-10-12 05:15:28
0
user5334041973948
سليمان الحبسي :
Uwongo. Anaefufua wafu ni Mwenyezi Mungu sio Yesu. Watu wote watakufa including Yesu ambae atafufuliwa pamoja na watu wote siku ya Kiyama, soma ( A ) Na kwamba hakika Saa itakuja hapana shaka kwa hilo, na kwamba hakika Mwenyezi Mungu atawafufua walio makaburini ( Qur’aan 22:7 ). ( B ) Bibilia inathibitisha hilo, soma: Ili tusijitumaini nafsi zetu, bali tumtumaini Mungu, awafufuaye wafu ( 2 Wakorintho 1:9 )
2026-10-12 03:16:39
0
isakandria
Isakandriah :
anasubiri siku ya kiama,parapanda Italia,waliokufa watafufuliwa,nasi tutabadilisha twende kumlaki bwana yesu mawinguni
2026-10-12 01:31:52
1
collinsabala
Collins Abala :
Ali khamenei amekalishwa muda murefu sana ,
2026-10-12 06:18:23
0
yunusabdalla495
good :
Kondo walio potea ndio wanafa kuja Kwa yesu .
2026-10-12 06:11:55
0
rashidmadebe247
sakandechiwa :
sasa hata ukimuweka utapata nini?
2026-10-12 04:41:04
0
georgejordanmwina
George Jordan Mwinami :
Wanazika haraka kiasi kwamba wanazika wengine wakiwa wamezimia tu
2026-10-12 04:52:35
0
user876949558
torres :
Nani aliwaambia MTU akizikwa anawekwa kwa sanduku
2026-10-12 06:19:48
0
rashidmadebe247
sakandechiwa :
Kwani kuendelea kumuweka.maiti Luna faida yeyote kua atafufuka
2026-10-12 04:41:48
0
user1863552653644
ndege sky :
lack of knowledge
2026-10-12 07:08:15
0
To see more videos from user @etltv777, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About