@Adv. Hendrick Matiku: Hali ya kifedha zilizotokana na taaluma iiyokupa ajira inayokuingizia fedha, ndio maana watumishi wa uma na taasisi binafsi wengi wanakopesheka BENKI kwasababu ya ajira zao zinazowaingizia mishahara. Elimu imuhimu sana inaondoa ujinga na umasikini.
2026-10-13 17:29:26
1
Edenagrisolution :
si wanalieka sawa soon tutatumia magamba kupata chochote kitu
2026-10-13 14:29:27
0
DIBRO :
Benki itakukopesha pesa kwa kuangalia hali
yako ya kifedha, si cheti chako cha elimu.
Hii imenifanya nitafakari sana...🤔😂
2026-10-13 11:07:00
1
Chris de Mziwanda :
Halii ni mbaaaya😂
2026-10-11 23:33:49
1
mtumishi_rice :
2026-10-16 07:25:49
1
mariammushi781 :
🤔
2026-10-12 00:53:03
1
Captain iyobo :
🔥🔥🔥
2026-10-11 22:51:40
1
To see more videos from user @goodluckmindset27, please go to the Tikwm
homepage.