@user87925134255054: 🙏🏽🙏🏽 This time tomorrow🔟

WISE
WISE
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 02:06:07 GMT
21143
588
65
82

Music

Download

Comments

ellybob55
ell bob 55 :
polen wazeee
2026-10-12 09:34:10
0
user1425765550287
user1425765550287 :
@[Crying][Crying][Crying]
2026-10-12 08:37:32
0
mamybabe7
Mamy✨ babe🌹🌸 :
Mungu awalinde watoto wetu katika utafutaji wao ameen🙏
2026-10-12 06:50:33
14
ligah.michael
Ligah Michael :
Wapi hii asee
2026-10-12 09:24:22
1
imma230yt
✨️✨️Abu💫💫 :
tatizo mnawapa kazi watu hawajui sheria za hizi kazi
2026-10-12 04:07:21
5
goodlovetyoe
Godlove :
ajali kazin sisi mafundi tuna elewa poleni lakin si ajafa mtu lakini
2026-10-12 09:34:21
1
zinjeoneone
zinje one one :
POLENI
2026-10-12 04:42:50
0
mobaaroos
OfficialMo✅🕢 :
Poleni wapambanaji
2026-10-12 04:17:08
3
nucci.black
Nucci Black🦁🦁 :
no safety guard
2026-10-12 05:17:11
1
gngo16
War boy :
dah alafu nani km mama
2026-10-12 04:41:56
0
abdully.hamid1
abdullyhamid :
polen sana kaka ajali kazin 🙏🙏
2026-10-12 04:46:08
3
martinclement473
Martin Clement :
poleni sana mungu amsimamie apone tu
2026-10-12 07:06:47
1
muhammadothman469
Muhammad Othman :
wap iy
2026-10-12 04:59:47
1
shamebomoa2
shamebomoa2 :
wapi iyo poleni sana
2026-10-12 04:57:05
1
user4146947979573
Ummy samia :
wapi hii
2026-10-12 04:49:13
2
hillary_0025
hillary_0025 :
Kamata huyo Engineer, hakuna safety precaution hapo! mnaua watu kwa makosa ya kipuuzi, na sikuizi Roho ya mauti iko nje nje, hata ukimpiga mto Kofi anakufa... Tuliombee Sana hili taifa juu ya Kisasi cha damu...!
2026-10-12 09:24:52
0
christinakamaka
Christina Kamaka :
poleni
2026-10-12 07:01:51
0
lik.machupa.jr
The machupa tz :
structure noma imekuaje ika dondoka
2026-10-12 03:48:52
2
meshizo2
Meshizo🦅 :
Polen sana
2026-10-12 07:29:55
0
abdulmalikbilal66
BEY KHAN 🔥 :
washatoa kafala si lazima mtu afe ukimwaga tu dam ya mt kafala tosha maignia ao washadanya mambo Yao yaende apo da mungu atamjalia uyo mtu atapona ishaa allah
2026-10-12 08:40:35
0
ezekielkisuda
eze 45 :
tuliza kamera bc
2026-10-12 09:49:15
0
user4617121045674
farisy👑🦂 :
mwenyezimungu atulinde watingaji wote mana tunaacha familia tunaenda kusaka tonge atujui kama tutaludi hai au tukiwa kwenye⚰
2026-10-12 10:04:45
0
hr.love794
HURUMA SIO MALEZI :
du polen sana
2026-10-12 08:59:15
0
vailetchelestino
Vailet Chelestino :
vip anaendeleaje lafiki jaman
2026-10-12 08:56:39
0
suleymankombo
posho :
Dahh harakati za mtu mweusi mungu tusaidie bariki jasho letu asubuhi na mchana
2026-10-12 08:59:48
0
To see more videos from user @user87925134255054, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About