nikaa kuna ukweli hapa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-12 05:37:10
2
Joanne🥰🥰 :
mwingine hapa karibu aninyanyashe na pesa ni mm natoa nyama kilo alikua ameniekea nyama nusu na mifupa nusu 😅😅😅😅ilibidii nirudie hiyo nusu ingine sipendi ujinga na pesa zangu
2026-10-12 04:48:50
4
user7358504215040 :
waaah bytheway
2026-10-12 04:49:07
1
V!ckey Mnatty🤘🏾🤘🏾 :
Na cereals piah😂
2026-10-12 10:22:42
1
Mama Kyle 💫💫 :
mi niliambia mtu wa butcher asiniweke mfupa akaniuliza kwani iyo ng'ombe alikua anatembea na spring 😭😭😭
2026-10-12 16:36:06
2
Cecilia murira :
😂😂😂 Mimi hujifanya siangalii but
2026-10-12 04:42:56
1
KEKI YA KWAO♥️♥️♥️🩺💉💊 :
umetuamulia😂😂😂
2026-10-13 05:31:09
0
PRETTY VALL KARRY :
walai ady inasemanga usiwekee mifupa🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 05:01:39
1
queen💕 vibez :
mm hiyo nayo huwa siangalii coz sipendi nyama
2026-10-12 07:29:39
1
domii :
ju Hawa waseee Kwa mfupa utshangaa
2026-10-12 03:05:52
1
la shi collectionmeru(fashion) :
ukiblink tu kidogo unagongwa mifupa😅😅😅
2026-10-12 13:10:27
0
LUH TWIZZY :
hapo una focuse na ratili [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-13 06:38:26
0
👑THE👑DON👑🇰🇪 :
I'm the King nitakunyoa bila ww kujua🤣🤣
2026-10-12 13:25:22
1
irungucollins21 :
🤣🤣🤣
2026-10-12 04:37:34
1
AveryBUWS :
😵
2026-10-12 04:45:20
1
To see more videos from user @nyaruiru8660, please go to the Tikwm
homepage.