apo ukipigwa heartbreak therapist akuje na therapist wake ndo utaheal
2026-10-12 11:10:12
1
Zaifat♉️ :
What is the meaning of love?
2026-10-12 15:55:09
2
🎀MSICHANA🎀 :
I see but i don’t jugde😁🙌
2026-10-12 05:02:14
4
mommy💕 :
unapendwa 😅😅
at the same time hupendwii😂
aloo things are going so first on ur side 😅😅
2026-10-12 05:05:48
73
sarasfbkl19 :
kama alikuwa hawez kukupata alikuwa na uwezo wakukutafuta kwa jirani,anadanganya😂
2026-10-12 04:59:54
306
Glory🤎 :
mwaya he is not a wrong investement what ever he said is right you dont want to start arguing for fees or food for the kids or a simple wedding my love just wait usimkatie tamaa mwanaume anaepumua
2026-10-12 06:33:24
3
itc__annah🦋💦 :
kuna mimi ananipenda ila etty mama ake hawez nikubali kisa mnene😂😂
2026-10-12 05:36:41
87
swara :
so you people chat with swahili 😂😂 I don't know it
2026-10-12 05:22:02
1
LastBornMe :
hii nayo ni red flag mwanaume kuogopa maisha ya ndoa kisa uchumi, kwa hiyo had watoto watazaliwa na kufika umri wa shule yeye anaingiza hiyo hiyo hela
em nipishe mm stak mwanaume wa hivyo!!
2026-10-12 06:40:10
81
Alice_fresh_hub :
Kwa upande Wangu he is right and he is honest with you , ndoa kwa kuongea ni Jambo Dogo ilaaa kwa kuliishi ni kubwa
2026-10-12 05:19:23
119
Dee :
We kwann umlazimishe mwenzako ndoa muache bado anajitafuta 😂
2026-10-12 11:11:37
10
Sweetsoul🦋😉 :
Bora ushajua ukweli kwamba ni wrong investment 😂😂😂😂
2026-10-12 14:25:35
7
Mdogo🪴 fei❇️🎒 :
trust process babe ndoa sio Ajira subiri tujitengeneze kiuchumi kidogo sawa rebby wang♥️🫂😂
2026-10-12 03:52:15
20
sasha sophie :
Ndio mnapendana ila mwanaume akishakuambia hayupo Tayar kwa ndoa kwa wakati huo usibishe usiforce muwe mnawaelewa Hawa wanaume na uzur wa wnaume wanakuaga honest kwetu kama hatak mtoto atakwambia hatak ndoa atakwambia .sasa bint tulia wew enjoy mahusiano take time let things flows on its own
2026-10-12 05:21:02
28
Gee's 26 🧸🦋 :
mwanaume anaweza akakupenda na asikuoe afu pia tunatofautiana akili jmn na uhalisia wa maisha mpka ufike malengo na kiwango cha pesa unacho hitaji wewe ili uanzisha familia ni uongo hatuna guarantee, kuna utofauti wa girlfriend na mke wajameni.. mwanaume akiona unastahili kuwa mke wake na mama wa watoto wake hachelew wala kuwaza mara mbili kufanya maamuzi..... haya napita tuh sitaki kuchambwa [Laugh approved]💃
2026-10-12 07:04:12
23
mimupretty :
its oky if he makes u happy, we love u baby girl
2026-10-12 10:08:22
2
𝒩𝓊𝓈𝓇𝒶𝓉💜☪️💞 :
Uzuri kwenye Hii stage uwezi gundua kama unatapeliwa mpak yakukute [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-12 11:22:22
5
Miss Ria🦋🌸 :
green flag kwa maisha ya mbele lkn ni red flag kwa maisha ya sasa😂💔
2026-10-12 10:50:43
10
CECI JUICE BAR :
Overthinker
Jeee anasema alihangaika kila mahali. aliuliza hata kwa marafk au watu Wang w karibu..?
kwang hapajui miak yote au kwet hapajui na kama yupo mbali n mm hayo maeneo anayoishi hakun Mt anaemfaham au hat kazn kwang hapajui...mmmmh jamn [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-12 06:09:51
8
Gen XY :
as long as anakumbuka kutum ela bila kuombwaa 🫡
2026-10-12 06:18:07
5
Chloe🌹 :
Guys hivi kumbe bado kuna wanaume wanaandika waraka kujitetea! 😳
2026-10-12 11:25:15
8
March :
Wale wa sisterhood na motherhood is proud of you hawaamini wakionacho, LOVE ALWAYS WINS
Uzuri mkiaanzisha familia akili ya upambanaji itaongeza na Mungu atawatia nguvu na kuwaongezea ridhiki .👊
2026-10-12 04:37:18
9
Lelah Mbwana :
Achana na mambo ya mtandao kipnz, your man has maturity na amekuelewesha vizur tu
2026-10-12 08:23:57
10
Sammy Jamal :
Listen Dear, ukisikiliza sana ushaur wetu utakupoteza kwa mwali hapataliwa na kungwi hapataliwa. Kids are expensive, and its for the lifetime. Ur still young no one is ruahing u anywhere. Jua kua ndoa ni another lifestyle utaishi for the rest of urlife, na hata kama mtaachana mbelen(hatuombei), but u wont be the same my dear. Ur lonely, u need to love ur self more, jiweke kama first priority, na usimwone mwenzako mbaya kisa kamwambia uhalisia wa hali yake.... thats how its sasa utafanyaje?, calm down, u never no mambo yatabadilika, ila kwa dunia ya sasa kuna umuhimu mkubwa sana kupanga future before anything... ihope utasoma na kuelewa🙏🏽
2026-10-12 08:41:16
15
Ms Ryce🦋✨ :
Kakutafuta hajakupata asiandike ata barua,😅 unapoushi je hapajui? SAWA
2026-10-12 05:59:29
8
To see more videos from user @her_becky, please go to the Tikwm
homepage.