@gisboy__tz: You humgusi….!! 😂😂🙌🏾🙌🏾 #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #video

Gisboy_tz
Gisboy_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 03:56:41 GMT
29888
1616
340
151

Music

Download

Comments

misslee_tz
Lastborn❤️ :
hyo yote mm nikiwa na 200k😂😂mwanaume uniambii kitu😂😂😂😂
2026-10-12 05:23:26
49
sweetbetty20
sweetie❣️ :
ni nikiwa na elf 50. kwishaah[Laugh approved][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-12 08:55:32
0
salma.chihonde
Salma chihonde :
umesema milioni 😂😂😂😂😂😂mbali sana mimi nikiwa na ela ya kula tu sishikiki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-12 05:31:11
28
habor255
HABOR COMPANY 0743716063 :
Hhhhhhhhhhh mm mwanaume haniyumbishi[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-12 04:03:52
0
shaniterloveran0
shaniter loveran :
mmmh cyo wotee bhnaa
2026-10-12 06:59:37
0
momolizzy0
Big Baby♎️ :
Yote iyo ??🤣🤣Mimi laki tu
2026-10-12 05:34:53
6
mlawazubeda
🎀 pretty zuuh 🎀 :
kuna mie sina hata mia ila kiburi kipo kwenye paji la uso
2026-10-12 06:23:04
11
giannachomazone1
Gianna chomazone :
Milioni nyingi niwe na laki tano tuu😁
2026-10-12 05:33:24
14
user473019102537
💕wabal💕 :
mie Nina zaid ya milion 5 account yangu allhamdullah najana nimemtafuta mara kumi nimepiga ajanipokelea simu 😭
2026-10-12 06:08:10
6
mom.giovearn
Mom Gianna :
me 20ty😂
2026-10-12 06:32:01
0
glory.nestory06
g love ❤️ 😍 :
million lakik 5 yote hiyo ya nin elf 10 tuu
2026-10-12 05:32:26
1
xaunewbee
XauNewbee :
mimi nikila tu nkashiba hata kama sina mia nawasema😁😁😁
2026-10-12 05:46:01
7
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
sna hata mia na mwanaume hanisumbui hata kwenye akili yangu
2026-10-12 05:59:22
2
user9826167690843
yusra Musa omari :
me ata ikiwa na elfu 5 hunibabaishi 🤣🤣
2026-10-12 05:41:00
1
second9318
NASSERIAN :
Hata Mia siwezi kuwa na kiburi ila usinichokoze
2026-10-12 05:14:01
6
carenjustine58
Jesca🤎✨ :
Hakika umenigusa na kunidhalilisha tabia yangu hiii kabisa 🤣🤣🤣🤣
2026-10-12 07:26:01
1
femyscodo
Femyscodo :
mm elf20 tyuuu
2026-10-12 05:34:44
1
user28014968061405
tart😜 :
😅😅😅mimi sina hata miaa ila kiburi iko 10/10
2026-10-12 05:23:29
13
camelle769
cammy💋🦋 :
Nilikua na 600k nikaomba tuachane 😅zimeisha na yeyeakawa ananibembeleza nikakubali sahv nipo metulia nasubr zije tena
2026-10-12 08:59:44
0
user9532213651812
user9532213651812 :
mbn Nina million 2 na kitu lkn Bado Sina kiburi
2026-10-12 07:50:37
0
aggy6052
Aggie-collection-Tz🛍️💃 :
500k nyingi ivooo mi elf 10 yangu tuu😂😂😂😂😂💔
2026-10-12 05:43:21
1
bestmomy01
Sweet momo :
😂😂😂ulijuwaje
2026-10-12 05:37:33
1
asia.hussein87
Asia Hussein :
ulijuaje
2026-10-12 05:51:15
1
mimih_____01
gemini_♊️ :
milioni mm niwe na unga tu ndani😂😂😂😂
2026-10-12 06:52:24
0
tinnaa255
Tinnaa :
Kwanini unatoa siri zangu 😂😂😂🙌🏽
2026-10-12 05:40:47
1
To see more videos from user @gisboy__tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About