bwana mkubwa huyu mwaka jana nilipita kumzuru ni mwanafunzi wa shekhe sulayman bin alawy.. hawa mabwana wakubwa wameacha athali kubwa sana kwenye dini yetu.. mwenyezimungu awape kauli thabiti mashekhe wote waliotangulia na sisi tuliobaki tunufaike kwa elimu zao kwa barka za mtume aaamin....
2026-10-12 14:33:05
1
BAM BAM :
mashalla 👌👌👌♥️♥️♥️👍👍👍Kenyan
2026-10-24 11:29:38
0
true voices :
ALLAHUMMA SWALLI WA SALLIM WA BAARIK ALAA SAYYIDNAA MUHAMMAD WA AALI SAYYIDNAA MUHAMMAD♥️