jamani kuuliza sio ujinga niliskia watu wanaongea kuhusu gari zinaitwa Zuchu anaejua anijuze ndo gari gani hizo
2026-10-12 18:52:52
4
Stephen Katununu :
chuma la home iloo🔥🔥🔥😁🥰🥰.
2026-10-12 12:31:06
2
Deus prosper :
fire
2026-10-12 12:10:50
0
jastin francis :
hivi katika gari zote zinazo toka mkoa wa mbeya kwenda dar kati ya KATALAM ABOOD MSIGWA ACHIMWENE NEW FORC ABC ALSAID SAULI nazingine nilizo sahau ni ipi inatembea zaidi kuliko zote nisaidieni ila mm naikubar katalam NA msigwa
2026-10-13 05:34:32
0
Martha lucasi :
chuma yadaresrai iyo vp
2026-10-14 13:18:08
0
PESA NOW 🛠️ :
la matajili
2026-10-12 06:37:13
1
verena :
Kanyimbo katamuuuuuuuuu basi langu pendwa, jamani chondechonde muyafanyie service 315 na 314 maana shule zinafungwa watu tunaanza kufunga mizigo polepole Kwa safari na watoto😂😂😂😂❤️❤️