@alkheri.tv: POLISI KAWASHA MOTO SHEIKH ALHAD APIGA SALUTI,MANARA NA WENGINE WAMWAGA MIHELA. NAOMBA WATAZAMAJI WETU WOTE MTUFOLLOW AKAUNTI YETU YA ALKHERI KWA WINGI... Hii imevunja rekodi ya mtandao leo! 😱 Askari wa Jeshi la Polisi ameleta vibe la hatari kwenye Maulid mpaka Sheikh Alhad akashindwa kujizuia na kumpigia Saluti ya heshima, huku Haji Manara akiukubali mziki wake na kumwaga mihela ya kutosha live! Huu ndio ushirikiano wa kipekee na wa kuvutia USISAHAU KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE VIDEO HII
Iman yangu Ina niambia Oct 29 haukishiliki Allah akupe umri mrefu kamanda
2026-10-12 08:49:30
144
D love ❤️ :
Anae mjua nina zawadi yake
2026-10-12 08:41:07
40
mr ongredas :
alinisaidia kesi yangu ya kupewa hadi nimetoka..na alikua hana cheo alikubali kupoteza ujira wake kisa kunisaidia mimi....allaah akulinde na husda na akuweke peponi inshaallaah
2026-10-13 06:07:50
67
mamy shaymaa :
mashaàllah ametukuka ALLAH ambaye ameiteremsha Qur an
2026-10-12 08:30:57
49
officialmsingwa :
Sasa Mmeshaona Ni Aina Gani Ya Asikali Wanaotakiwa Kuwepo Barabarani Yani Traffic
2026-10-12 11:00:48
30
rahman :
Takbriii
2026-10-12 12:03:08
7
Abduli Alli :
app akikukamata anasahau hbr ya aya
2026-10-12 11:20:13
7
munnyadrian2 :
Hawa ndio mojawapo wa Police wema wachache tunaokutanaga nao mtaani.
Maana polisi wengi wanatufanyiaga mabaya mpaka unajiuliza hivi huyu ana dini kweli.!!?.
2026-10-12 08:40:30
6
lsmah Kenya 254 :
taqbir
2026-10-14 18:45:21
2
Said Mcheni :
mashalwaaa
2026-10-12 06:52:50
5
misky misky. :
mungu atufanyie wepesi
2026-10-18 05:58:02
1
aliyah wachevu :
mashallaah
2026-10-12 07:52:06
6
shukxi mother :
Afande naomba nafasi ya pili kama bado
2026-10-15 05:43:16
2
Baba wawily :
Takbir
2026-10-16 12:13:02
2
Hamadi Issa :
manshallay
2026-10-16 19:28:40
1
ZUWENNA TEXTILES :
Takbriii
2026-10-18 11:38:40
2
ZAINABU NYUMILE :
takbiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-10-17 09:29:08
1
tummy_17 :
Mashaallah 🥰
2026-10-12 09:58:50
3
da jey :
takbir
2026-10-12 12:29:24
4
To see more videos from user @alkheri.tv, please go to the Tikwm
homepage.