@millardayo_: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewachekesha Watanzania wanaoishi Nchini Uingereza baada ya kutania ushindi wa Simba SC dhidi ya Yanga SC, akisema ni tukio kubwa kiasi cha kuwashangaza hata Watoto. Akizungumza Jijini London, Uingereza, katika Jukwaa la Biashara na Uwekezaji la Diaspora la Tanzania (Tanzania Diaspora Business & Investment Forum 2026), Dkt. Mwigulu amesema anaweza kuwepo Mtoto aliyesoma Sekondari kuanzia Kidato cha Kwanza hadi cha Sita bila kushuhudia Simba ikiifunga Yanga. Kauli hiyo ya utani imekuja baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Oktoba 10, 2026, kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 05:35:03 GMT
34262
2520
21
42

Music

Download

Comments

wiz_kidayo01
wizkid_Efx☠️ :
Simba mtoshinda tena mpk Mwanangu amalize lasaba
2026-10-12 08:02:29
4
dogo.gacqy_tz
dogo Gacqy_tz :
au vp bana😁😁
2026-10-12 09:06:57
0
joh02708
@Hunderson :
NGUVU MOYAA 😁😁
2026-10-12 08:21:35
1
wizzo.boy.tz100
Mjukuu wa mwamposa 255 🇹🇿✝️ :
wajina una pg kazi kweli kweli 🫡🫡🫡✝️☦️🛐
2026-10-12 05:39:05
3
mussafracis
gaazi :
awe comedy
2026-10-12 05:39:24
1
timoscomedian
MELVN MIRAN :
Kwahy mwane2 sema
2026-10-12 05:39:27
1
cruiser.80series
STN 6557 :
Ctk kuskia mi
2026-10-12 05:37:41
0
yasserkaizilege
JR :
nguvu mojaaa
2026-10-12 05:39:39
1
kphappynation
happy :
nyumban singda au
2026-10-12 06:29:37
0
fardizoocreator
Fardizzo creator :
tutegemee makubwa kutoka kwa FARISI BURUHANI KATIBU WA UVCCM TAIFA
2026-10-12 06:02:51
0
bush_kid05
bush_kid05☠️ :
Ndo tumeanza sasa
2026-10-12 07:56:24
0
mugachu2
M27🥷 :
Ila mwiguru anaipenda simba 😅
2026-10-12 06:43:38
2
user2347430656314reggan
reggan :
ukweli una umaa😁
2026-10-12 06:17:58
3
twevethegreat
twevethegreat :
na ile ya chama mlipone chupuchupu
2026-10-12 12:23:55
0
twevethegreat
twevethegreat :
ww mzee unatuonaje ww yanga sikafungwa juzi tu apa na kibu mbili bila au na juz zanzibar kafungwa
2026-10-12 12:23:27
0
1.ckiss
Smoker 🚬 :
mtoto kaanza shule kabisa
2026-10-12 09:36:57
0
danillo_crown
danillo_crown :
Madogo futeni video zangu
2026-10-12 08:44:25
1
khandirector
Issa Khan :
😂
2026-10-12 05:40:27
0
salumhaji0001
Salum Haji :
🌹💯🌹🌹🌹🌹
2026-10-12 06:32:26
1
nakupendaworld
Nakupendaworld :
🔥
2026-10-12 08:14:43
1
wilsonwile
wilson@ :
😁😁😁
2026-10-14 19:50:50
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About