Yaani ila naelekea kufanya maamuzi magumu nikiendelea kumchekea huyu kijana sitokuja panda ndege mm jaman 😂😂😂😂🙌
2026-10-12 12:16:43
15
nomy💞 :
ndo umeamua kunitangaza🤣🤣
2026-10-12 15:16:49
1
Jackline💕 :
Ndo kunitangaza
2026-10-12 11:40:11
2
totohney :
Why neema 😂
2026-10-12 14:51:02
1
Blessing :
Mm hako kakijana kamesema hakapo tayari kwa mahusiano Etii hakaelewi 😂😂 nimempea chance huyo mbaba haraka Sana nimenunuliwa hadi tule tuviatu twa ballerina
2026-10-13 05:47:59
5
@Neyney🍒 :
kwann neema lkn[Crying]
2026-10-12 15:46:22
1
Devotha desdely :
Ila wadada tunatamaa jamani
2026-10-12 17:05:10
4
Aiem hafeedha🦋💔 :
kukwamby siri zangu kidog tu unaamua kuja kuntangaza😂
2026-10-12 11:42:36
7
neyjude😍❤ :
😂😂niacheee
2026-10-12 18:39:55
1
She is Nay🥀 :
Why Neema lakin😂
2026-10-12 15:18:16
1
Neema lameck :
Sasa neema ameingiaje apo kamamu 😂
2026-10-12 14:36:42
1
Redroses✨ :
Kwn mnatuona au😂
2026-10-12 16:35:26
1
Nare de boss🥰🥰 :
sio neema tuu jMan hata husna mie pia mjinga kama shangaz yanguu🥺had wana wanaisi nimerogwa🥺
2026-10-12 17:06:50
1
conso Lee :
haya mje mnipee hata Moja jaman 😳😁
2026-10-12 19:59:36
1
Neema paul :
neema mm kbsa huyu
2026-10-13 04:42:18
1
ney🦋🦋 :
sasa me nimeingiaje apo lkn
2026-10-12 11:59:23
1
ney :
jamni 🤣🤣
2026-10-12 19:25:38
1
Neema :
mniache bhn😂😂
2026-10-12 09:45:16
1
ñ3ym⁹ ♍️ :
Why neema
2026-10-12 09:36:48
1
Ney shundu :
kwann Neema lakin🤣🤣
2026-10-12 11:33:08
1
𝓑𝓮𝓻𝓻𝔂 Cosmetics :
😂😂😂😂
2026-10-12 14:57:34
1
Neyla⭐️ :
😂Ilaa me nae sijui ushamba unanisumbua
2026-10-12 11:53:43
1
it'snimah :
ayaa sas nimefikaj ten ukuu wajamen😁
2026-10-12 16:37:01
1
Veronika Willa :
kwanini neema!!
2026-10-12 09:47:08
2
To see more videos from user @itstwishemelilwe, please go to the Tikwm
homepage.