@cwgchiwaga: Polisi Hamid Rashid kutoka Polisi Mkoa wa Temeke amewahasa wakina mama na wanawake kuwa kama shamba zuri lenye rutuba abalo linatoa mazao mazuri kwa jamii. Kwa upande wake Issa Al Hinai Mwalimu wa Madrasa Al- Madrasatul Fattah Islamiyyah amelishukuru Jeshi la Polisi kwa kuwapatia mafunzo mazuri ambayo yatakwenda kuwa msingi mzuri wa malezi ya watoto katika jamii.

CWG DIGITAL
CWG DIGITAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 08:48:44 GMT
45700
5188
170
330

Music

Download

Comments

fatumashaban652
Fatuma Shaban :
mashallah mashallah Allah Akbar mwenyezi mungu akujalie Kila kheli [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-13 04:03:18
1
......nahhggg
say my name☑️ :
I welcome everyone to ISLAM ❤️
2026-10-12 18:39:17
1
amina.00015
Amina 0001 :
mashaallha
2026-10-12 17:31:44
0
user849309928758
Hawaa mohamedy :
mashaalla
2026-10-13 11:05:09
0
user3657261636273
Sahra ☀️ :
mashaalla
2026-10-13 08:51:48
0
laydyjaan
🥰🥰🥰 :
mashaallh is the
2026-10-12 18:03:06
1
ummu.khayrat5
Ummu Khayrat :
Mama ni mwalim. Mama ni docta, mama ni mwana sheria. Mama yupo kila sekta hongereni wamama nyote
2026-10-12 16:29:02
10
user955761478
mamy samira :
maanshaallah
2026-10-12 09:31:58
1
muhammedali54431
feety :
MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah
2026-10-12 13:19:35
3
abuu.ammar_
Abuu :
Huyu kamanda nadhani Ile October 29 hakuna ndugu zetu kabisa
2026-10-12 15:11:32
9
zenat.hans
Zenat Hans :
mashaAllah, mungu akuweke afande akupe afya njema , nimependa mawaidha yako Allah akulipe
2026-10-13 06:25:09
5
daluni.mpili
Daluni Mpili :
mashallah kamanda mungu ukupe wepesi kwakila jambo
2026-10-13 05:54:21
3
bibi.zain
BIBI ZAIN💦 :
MASHALLAH ALLAH AKUPEMWISHOMWEMA KAMANDA
2026-10-13 05:00:27
2
sheyzloverashid
tamu ya baby💕💞💗 :
mume wang wa baadae mungu atujalie kher
2026-10-13 07:34:18
3
kroose.jrshelaton
Kroose Jr :
mashaalaah
2026-10-12 10:28:04
1
user1955237234244
Adamu mohamed :
ap kweny sayans kk umetisha san
2026-10-12 11:24:59
2
zuhura.amir6
Zuhura Amir❤️❤️ :
Huyu Sasa ndoanafaa kuwa shekhe wamkoa
2026-10-13 03:38:32
1
swaumu.mkwachu
swaumumkwachu :
Kweri kabisa kama da MashaAllah
2026-10-12 15:31:19
1
oddochi1
oddochi1 :
Mashallah
2026-10-12 09:47:44
1
khadija.nassor13
Khadija Nassor :
mashaallah jazaka llah kher
2026-10-12 17:52:57
1
user9032330787478
juma issa :
Allah akupe afta njema miaka mingi ili uzid kuelimisha zaid
2026-10-13 06:58:42
1
hassanissa2512
HASSANI :
pot mwenyez mungu akuweke maishamalefu na akulinde na majanga ya dunia amina
2026-10-12 14:20:34
1
user6063118177574
user6063118177574 :
molla akupe mwisho mwema na akuepushe kuwa kiongozi tauhut sauti yako isikike masikion mwetu na akuzidishie sekma na akupandishe dalaja la imani nduniani na akhela
2026-10-12 11:10:35
1
mwajabuseif245
CAESARI :
M/mungu akuzidishie kher!
2026-10-13 18:15:34
0
mrs.bacha93
Mrs.bacha :
Allah akbar
2026-10-13 19:38:58
0
To see more videos from user @cwgchiwaga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About