@uhondo.tv: Aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara, amesema anaamini timu hiyo itaendelea kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara hadi mwaka 2030, akitoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kijiweni yaliyomkutanisha na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, pamoja na mashabiki. Manara amewatolea ujumbe Simba SC akisema wanaweza kupata ushindi dhidi ya Yanga katika baadhi ya mechi, lakini anaamini ubingwa wa ligi utaendelea kubaki kwa Yanga. "Ni nyinyi mnaweza mkabahatisha kwenye mechi mkafurahi mkatufunga... lakini kwa ubingwa wa Ligi Kuu, wana Yanga nawambia mpaka 2030," amesema Manara. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Monday 12 October 2026 09:08:03 GMT
Music
Download
Comments
estaredom :
manara upo vzur umeongea point
2026-10-12 10:54:28
103
masoud :
😂 ndiyo yanga asant 👏
2026-10-12 11:07:00
8
FrancisMaseke.og :
ukweli mtupu manara kaongea
2026-10-12 11:55:58
10
ima.mtatifikolo🫶🫶💘💘 :
ndo tofauti ya haji na alikamwe😅
2026-10-12 11:45:43
13
use..kylin💞💞 :
yote kwa yote manara kanenepa
2026-10-12 11:27:20
9
Happy Alex mrosso :
wAmbie manara sis bingwaaa
2026-10-12 11:35:20
1
oscar milanzi :
mwakaa huu tena😁😁😁😁😁
2026-10-12 10:54:51
19
mmpstar :
mm binafsi mtoto wangu sitamchagulia timu ya kushabikia ila yeye mwenyewe atachagua ashabikie simba ama aame nyumbani
2026-10-12 10:57:03
15
killy666666⁶666666666666666666 :
wambie manala
2026-10-12 11:17:43
0
Witness sardine mwanza tz :
💚💚💚💚💚💚💚💚💚 forever
2026-10-12 10:47:51
19
Mahila Katale 🎖️ :
yanga bingwa 💪💪🙏
2026-10-12 10:57:11
5
b bwoy tz :
bugati
2026-10-12 12:01:37
1
Alpha Charles :
mm ni shabiki wa Yanga Africans ila Ahmed Ali kuna mda anafurahisha yn watu wa tatu
Ahmed Ali,Ali kamwe na Haji manara
2026-10-12 11:38:07
18
KANNUTE Org :
niiko pamoja na manala waambie ukweli manala
2026-10-12 11:06:10
12
mpemba lana xela45 :
mwambiy huyo
2026-10-12 11:56:22
1
Aisha Mussa :
wambiee😁😁😁😁
2026-10-12 11:30:14
1
LAPULGA ALLY :
𝗶𝗻𝘀𝗵𝗮𝗹𝗹𝗮𝗵
2026-10-12 11:45:02
2
brayooh06 BuBaa nine :
mwez wa tano mwaka huuu jaman au nmesizi nni
2026-10-12 10:49:17
11
Paulina Bonifasi :
yanga bingwa
2026-10-12 11:59:30
2
Elizabeth Charles :
yanga oyeeee
2026-10-12 11:52:38
2
Pendo Hassan :
asante manara umejua kuwajibu sante baba
2026-10-12 12:03:00
1
Mariamuhassan :
waambie baba
2026-10-12 11:52:05
1
Coletha Mwambigiri. :
semaji wa mda wote manara🥰🥰🥰🥰
2026-10-12 12:00:58
1
🔮🌺𝐀𝐤𝐞𝐳𝐚_𝐋𝐮𝐧𝐚🌺🔮 :
nyie naomba mniambia kwani saivi tupo mwezi wa ngapi😳
2026-10-12 11:12:43
2
Dr G 🤫 :
kumb yanga huwa ubingwa anapewa
2026-10-12 11:49:35
4
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.