@jvckieseven: Marco chali ni miongoni mwa producer WAKALI SANA kuwahi kutokea kwenye muziki wa bongoflava ni vile jamaa aliamua kuchagua kuzikwepa media sana na kutopenda kuonekanaonekana ni kama alivyokua producer MIKA MWAMBA 🔥
Kuna dude la C-PWAA linaitwa action.. ile beat hajawahi pigwa
2026-10-12 19:56:32
79
NICOLAUSBARNABA :
Iv kwanini watayarishaji wengi wa mziki ni wakristo natamani kujua kwanini ipo ivo kama unaweza kunitajia producer hata mmoja muislam na mkubwa naomba unitajie
2026-10-13 20:13:33
12
@Vincent :
chalii wamoto kapitieni ngoma ya diamond platinumz keshoo 🙌🙌🙌🙌🇹🇿
2026-10-12 11:18:54
37
hizza👞👣✅ :
ngoma ya wakali kwanza 💯💯
2026-10-12 11:44:13
15
phant_man :
chali alinipigia beat ya godzilla ngoma inaitwa marco chali🙌🙌💯💯
2026-10-14 16:47:09
8
f60 mg :
sema lile beat la izzo na suma lee ni🔥
2026-10-12 10:31:10
14
Dhahabu :
hapo keupe kanafanya kazi
2026-10-12 10:56:36
11
Pain Zone :
ni mkali kwa wakati wake ila kwa sasa kuna wakali wengine, acheni competition, Kila mtu ni mkali kwa nafasi yake mitanzania sijui inawekaga akili wapi, maisha yanabadilika watu wakakua na Kila kizazi na mambo yake
2026-10-13 08:44:15
6
rich melody :
big up wote nyiee wakalii ilaa chalii kaka mkubwaa
2026-10-12 10:37:55
10
Elison :
ukiskia kwenye ngoma za Fid Q linatamkwa jina lake Marco chaliiiii ujue hyo ngoma n hot
2026-10-12 10:03:35
7
yohana_nyabu :
Marco Chali alipiga salasala ya Godzilla haitawahi tokea beat Kali kama ile 🔥🔥
2026-10-12 13:52:29
8
masarakway :
Dr chaliiiiiiii
2026-10-12 11:19:16
2
Hija mabalaa :
mkono mmoja wekajuu wekaivi ...iyo pia niyeye,💪
2026-10-12 15:15:28
5
Victor sweetbeat :
Marco chali alipiga beat la Wakali kwanza natamani 🔥🔥🔥🔥🫡🙌🏽
2026-10-21 07:47:29
5
Vaileth Abel :
Na ule wa Baraka Da Prince ,Marco chaliiii wweh
2026-10-12 21:09:14
7
a m a n d o tz :
makochali🔥🔥🔥🔥
2026-10-12 15:50:59
2
Boni tz :
Mapenzi yana run dunia
2026-10-12 14:45:05
1
omg :
hakika
2026-10-12 15:25:16
1
damal :
ndio namuona kwa mara ya kwanza ila kumsikia nimemsikia sana