@hunnie.lulu: Semeni hii au ile ya Blue Nasubiri comment

hunnie 🍧
hunnie 🍧
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 11:07:02 GMT
285739
15380
215
98

Music

Download

Comments

farizana4
Farizana :
White coz she doesn’t need to hold the dress to showcase baby bump it’s visible in the white
2026-10-13 15:54:26
0
_someones001
Lucretior ❤️‍🩹 :
Ni kijacho?usinichambe ninaumwa 🥹
2026-10-12 15:31:57
63
dyanakunambi8
dee :
hunnie we ni mrembo🥰🥰🥰
2026-10-12 12:51:44
43
lian__tz
It’s_lian✅ :
White ni nzuri sanaaaaaa na kapendeza vp 🥰🥰🥰
2026-10-12 11:13:06
261
lucyjohnsulus2
𝙻𝚞𝚌𝚢 𝚜𝚞𝚕𝚞𝚜 :
nyeuupe ni nzuri baraaa kapendezaaaa mno
2026-10-12 11:38:57
74
haikaofficial1
mom Amaal🦋🥰 :
Imagine mtu mjamzito lkn mrembo jmn jmn[Heartwarming]
2026-10-12 11:47:45
12
user8008753027291
Hackykhan :
Shida ya blue hatujaiona ss tunajibu nn
2026-10-12 17:34:41
8
luluwhite272
LULU WHITE :
Blueeee😆😆😆
2026-10-12 12:16:06
45
windallaz
Windallaz :
Ya blue bwana ndo imempendeza sana
2026-10-13 15:23:19
3
praise_1100
praise_1100 :
Zote nzuri sana ila nyeupe ndo zaidi
2026-10-13 05:30:38
1
salma.selemani39
Salma✨🦋💫 :
Nyeupe ndo kabaluza🥰
2026-10-12 15:32:06
13
the.empress.rabek
The Empress Rabekitta 🔱👑 :
Lakini Nyeupe ndio imekupendeza Dada Lulu
2026-10-12 12:46:23
8
mariamwaziri41
ℳ𝒾𝓁𝒽𝒶𝓏 𝓂𝒾𝓁🥰 :
whiter
2026-10-12 14:14:27
0
user1278290572826
💫Babee Mamah :
white is hot
2026-10-12 11:38:18
0
jack249625
Ujack 💄 :
Nyeupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-10-13 08:40:28
0
princess.sau09
princess sau :
Jamani blue hunnie japo zote nzuri sana Ila blue nzuri zaidi😂😂😂🥰
2026-10-13 17:08:42
0
babyluucollection
𓆩𝓑𝓛𓆪~𝓒𝓸𝓵𝓵𝓮𝓬𝓽𝓲𝓸𝓷 :
10/10
2026-10-12 14:40:36
1
naa.wa.said
Naa wa Said🥰 :
nyeupe mwanangu iyo imemtoa atar
2026-10-12 17:59:06
0
mkatessi7
mkatessi7 :
Nyeupe ni nzuri
2026-10-12 16:59:24
0
user6109304726205
mdachi 🥰😘 :
me nawependa mno we na mama ako
2026-10-12 17:36:26
0
naveenlordrick
Neema. :
zote nzuriii
2026-10-12 17:54:21
0
namymkwizu4
🦋Beterflay🦋 :
Nimeenda white jaman iko mwaaaah🤍 🥰🥰🥰
2026-10-12 16:54:48
0
user473019102537
💕wabal💕 :
nyeupe dear ndio kapendezaa sanaaaa t
2026-10-13 01:50:23
1
behumble748
𝕄𝔸𝕄𝕌 𝔻𝔼ℂ𝕆ℝ 𝕋ℤ 🇹🇿 :
kabaruza sana ndo raha unamtoto qnakua BFF wako marafiki wa nje anakuchangulia nguo rangi mbaya ili watu waseme ajapendeza ila mtoto kaona akuu mama angu vaa hii hakika mtoto wa kike raha jamani
2026-10-12 17:29:10
0
user4657365224986
Tinah! 💕 💙 🔐🦋 :
najua haiwahusu ila mimi nimeishi na mwanaume mika mitatu bila ndoa wala mahari nibebaga mimba lakini bahati mbaya nilpojifungua mtoto akafa hatuna nyumba kiwanja wala biashara kipato nikidogo lakini ndan ya miaka yote hyo huyu mwanaume alkua akichiti kulala nakila mwanamke kulala magesti muda mwingine wanatumiana picha za utupu na wanawake zake yote nimevumilia huku tukiishi chumba kimoja hata nguo kuninunulia nguo inakua shida labda nguo yazaman ichakae ndio nafikiliwa yeye anajipenda mitoko kama yote sim kari mimi nikimuomba nitafute kazi nifanye hataki anasema nikitaka kufanya kazi niludi kwetu tuachane maana sina faida kwake kuvaa sjui kupendeza sjui spo kama wanawake wengine nipo to mimi natamani kuondoka hapa lakini sjui nitaanzia wap maana sina hata mia maana nataka niondoke nikapange nianze upya mtu anaetaka kunisaidia anisaidie hera yakodi nikapenge chumba miez sita kisha nitatafuta kazi nifanye
2026-10-12 19:26:06
3
To see more videos from user @hunnie.lulu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About