@dr.jessy09: Replying to @Jackie food kukojoa Mara kwa Mara ni kawaida kwa mama mjamzito#viralvideo #foryoupage

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 October 2026 11:24:39 GMT
133283
6872
183
189

Music

Download

Comments

set_username032
Teressa🦋 :
Wengine mbona muda bado ila kukojoa ni kila muda?
2026-10-12 14:30:08
21
rebeca97849
rebby store💕💕 :
Kwenye kulia bila sababu jee😌
2026-10-15 13:09:07
4
user67398349473387
mamdogo :
Mimi tangu mwanzo wa mimba Hadi Leo nakojoa kojoa hovyo mimba inamiezi6 aloo nakeleka sana sijawahi kupumzika au Kuna tatizo tangu mimba mwezi1 Hadi 6 nakojoakojoa sipendi
2026-10-24 11:15:44
0
lovin3935
lovin :
but for me am 7months and felling it
2026-10-13 09:16:24
5
mirryum
🦋mirryum💎 :
mimi jamani viginal pain ni kama mtu ananichoma uku chini mpaka kutembea shida is it normal😳
2026-10-12 12:26:02
12
ney05218
ney :
jaman mie nkimeza folic natapika sana mpaka nachanganyikiwa hakuna nyingne mbadala wa hizo
2026-10-13 10:33:46
1
tee1808marley
Mrs Tariq❤️ :
Jmn nna miez 8 lkn napat maumiv upande wa moy mpk kulal ubavu wa kushoto shida🥺🥺🥺
2026-10-14 11:52:06
1
officialmildaly1
🌸❤️official_mildaly1♥️ :
Guys naomba kuuliza Ilichukua mda gani kupona maumivu ya kushonwa kwa wale walioongezewa njia
2026-10-12 11:43:03
0
123rfhhiibgfffdsyijgfddd
legacy :
mm sikojoi sana , ila natokwa na jasho kupita kiasi! ni sawa au kuna shida?
2026-10-12 17:23:43
2
user4844775477235
selina :
january hiyo kama najiona hiv kuamka mara 20 usiku 1 ni kawaida kwangu yani mpaka ba mtu ananiuliza kakojoe nataka nijisaidie usijepata shida
2026-10-16 05:09:16
0
mrs_brayson
mrs_brayson :
Jamn mm nina wik 32 naumwa sana na kiuno na tumbo mkojo muda mwingine unaeza kutoka tu wenyew shida nn na nakojoa mara kwa mara
2026-10-13 05:56:12
0
shazedebeauty
daddies ghurlo 🥰🥰 :
39weeks no sign💔😢😢🥺
2026-10-13 09:29:20
0
antzmhmed
Antz Mhmed :
kweli kabisa mm nakojoa mpaka nahisi wazim tena mkojo kidogo alafu nikikaa tena kidogo na haswa usiku sina raha na usingizi
2026-10-12 19:53:00
1
bakari.mohamed95
WANYUMBANI TZ :
DUH MM MKE WANGU ANAKOJOWA MCHANA UCK MALA 50 NANDOKWANZA ANAMIEZI 7 IPOJE IYO
2026-10-13 17:47:48
1
neyphat.kabir
Neyphat Kabir :
nanashindwa kuzuia kunywa maji nawez maliza lita 20 kwa siku yani nikiu cha maji nakunywa maji kama juic[Teary eyed][Teary eyed] yan nakula sana sielew
2026-10-12 12:02:13
2
angelprecious245
Angel precious ⚘️ :
eti kumnyoa newborn ni lazima?
2026-10-12 11:30:29
0
zuhurati4
zuhurati :
mimi nimesha fikisha miezi zakujifunguwa ila sijaona dalili yoyote ya maumivu sijuwi shinda nini
2026-10-12 11:34:22
0
judiefredy
judie :
doctor mm nimeumwa uchungu uck kucha asubuhi nimekuja hospital umekata had saiz kimya
2026-10-12 15:11:15
0
emamnyanyi
ema abnely mnyanyi :
habar kwanini mjamzito anakuwa anasikia maumivu makali chin yakitov afu tumbo linakuwa na vichomi linakuwa kam limejaa gess
2026-10-20 12:02:59
0
precious_mtotowamaria
Precious | Mtoto wa Maria. :
𝐘𝐚𝐧 𝐦𝐦 𝐧𝐚𝐤𝐨𝐣𝐨𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧 𝐝𝐫 𝐚𝐫𝐚𝐟𝐮 𝐦𝐤𝐨𝐣𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐰 𝐡𝐚𝐮𝐭𝐨𝐤𝐢 𝐡𝐚𝐝 𝐧𝐢𝐜𝐡𝐮𝐜𝐡𝐮𝐦𝐚𝐞 𝐡𝐝 𝐝𝐚𝐤𝐢𝐤𝐚5
2026-10-12 13:48:05
2
neyphat.kabir
Neyphat Kabir :
[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]hapo kweny mkojo nachoka nakosa kulala usiku nimateso ,ya nyonga ,mgongo tumbo kuvimbaaa[Teary eyed][Teary eyed]jamn naona siku aziend sasa
2026-10-12 12:01:17
0
user9205282905985
babygirl 💞💖 :
mim mtot wangu achezi
2026-10-15 13:54:04
0
juliakandolo75
Julia Kandolo :
dada ivi sasa miye niko na koyola na mimba iko kindoko iko nini??
2026-10-15 13:25:52
1
user246531724945rnv
💘karina🇨🇩anbaragangana 14h :
vraiment madame
2026-10-12 21:17:14
1
missmage7
missmage😄 :
Wewe dada Asante sana kwakweli unatuma elimu hatulipii hata Ada Mungu akubariki sana kwahuo moyo waupendo
2026-10-12 16:44:59
2
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About