shukran kaka mana umeongea maneno mazur xn mungu akutunze inxhaahllw
2026-10-13 02:06:55
16
Imamu Hassan :
umetisha mkali nimekubali kak
2026-10-13 07:32:27
1
Junior_wakala :
๐๐ซถ Asante mungu kunisimamia, Atimae kwa ushilikiano mkubwa Tumeweza fanikisha ujenzi uuuh, wa kaburi la mama yetu, ndugu jamaa na marafiki Asanten kwa ote mlio jitoa kwajili yangu mungu awabariki nyote tumuombee, mama yetu mpendwa Bertha Leonard mafungo, Alie tutoka, mnamo, 21/03/2025/ uko mwanza aliko kua akipatiwa matibabu yake katika osipitali ya rufaa bugando mwanza sara zenu na dua zenu, tumuombee mama, aendelee kupumzika kwa Amani dua zenu na sara zenu tumuombee mama Asanteni nyote na mungu awabariki ๐
2026-10-13 07:38:23
2
smart finishing tz๐ช :
Allah
2026-10-13 04:55:41
2
madu fighter :
shukra akhy
2026-10-13 06:29:55
2
njunja one% :
umetisha bloo
2026-10-13 08:34:12
0
fadhili๐๐๐๐ :
asant kak kwa kutukumbush naomb mwenyezi mungu atujalie mwisho uliokuw mzuli